chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Kaliadudu 😂😂😂😂😂😂Ukiwaona Keyboard worriers humu wanavyoongea utafikiri wana type kutoka Singapore [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kumbe hapa hapa kundustan Karia Dudu, tena usikute hapo hapo kuna demu wa mtu ye akiwa Busy Jf demu anapiga part time hapo。
Wakenya hizi ni frem za uswazi kwa Tanzania lakini wana good presentable appearance kuliko showrooms za downtown yenu number 1 😂😂😂Kaliadudu 😂😂😂😂😂😂
Hiyo milango na madirisha ya showrooms zao ndio vimeniacha hoi 🤣🤣🤣🤣
City center unakutana na milango na madirisha ya aina hii? Imagine ukutane na hiki kituko kariakoo 😂😂😂
View attachment 2058578View attachment 2058580View attachment 2058582
Troll detectedSlum injinia komora njoo utufafanulieView attachment 2057780
Uswazi ndio umejaa dar mzee[emoji1787][emoji1787]
Kuna mpka base la wabongo hapo wametia kambi[emoji1787][emoji1787]I didn't know Shinyanga downtown is also EAC prostitution HQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hii ndio downtown? Kuanzia wananchi mpaka majengo vyote vimechoka, lot's of mikokoteni, prostitutes, drug addicts and poverty