KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
@The best 007 135b umetoa wapi lakini?[emoji848]Chanzo chako cha taarifa ni kipi?maana mimi hupitia taarifa za WB, IMF Na BOT hatujawahi kifikia GDP ya $65B kwa miaka mitano iliopita...iyo tumeifikia mwaka huu ambapo ilikadiriwa $67b kabla ya uviko...yani unataka tuwe na GDP ya $100b kwa lipi serikali imeshindwa hata kuongeza mishahara kwa miaka 6 sasa na bado tunakopa hadi hela za kujenga madarasa na x-rays machine...
Awamu ya tano ilipoamua kujenga sgr ikijua kabisa %kubwa ya mizigo inasafirishwa na barabara na nyingi bado ziko vibaya hapo ndio ujiulize iyo impact ya ku shoot GDP itatikeaje ghafla ivyo na sgr bado haijaanza kazi...vivyo hivyo JNHED Hadi ianze kazi ndio GDP yaweza panda zaidi
Really now? That's not Kenya but nonetheless, road enginners in here would explain to you things to do with gradient.Kenyan infrastructures.View attachment 2055808
Tulia wewe kunguru ya kibera sindano zikuingie@The best 007 135b umetoa wapi lakini?[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenyan infrastructures.View attachment 2055808
you are growing desperate daily....lol.Nothing like that in KenyaKenyan infrastructures.View attachment 2055808
Sasa wewe kichwa malenge umeona nikiongea na wewe, foolTulia wewe kunguru ya kibera sindano zikuingie
Eti mtu anaita linear development ya vijighorofa vitano skyline 😂Hii picha imetusaidia sana kwa mambo mengi🤣🤣🤣🤣
Nchi ya project moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lakini si tunaona project moja kule tu kaskazini [emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tangu huu uzi uanze gap between Nairobi na Dar imeongezeka sana. Nikama Dar hamna projects
Asante sana mkuu [emoji120]Nakumbuka enzi za Marehemu Magufuli..yeye alikua anaenda kwa site,akipata mume lala kwa kazi na hamfanyi kazi quality anawafuta papo hapo..anatafta contractor mwengine aendelee na kazi..Honestly huyo jamaa aliwajaribia sana...Kama binadamu watu hua na kasoro ndogo ndogo..lakini alijaribu....Nilipenda slogan yake''HAPA KAZI TUU"
Mwanzilishi wa Tz mpy.Kwa yoyote atayembeza huyu mzee kwny suala la miundo mbinu atakuwa anakosea sana!!!ametubeba sana Watanzania kwny hili!!! Wayback
Niambie wapi hapa nikuoneshe kitu.
Nimeitoa hapa [emoji116][emoji116]@The best 007 135b umetoa wapi lakini?[emoji848]
Naomba hii thread ifungwe!🙌Nimeitoa hapa [emoji116][emoji116]View attachment 2055879View attachment 2055880View attachment 2055881View attachment 2055882View attachment 2055883View attachment 2055884View attachment 2055885View attachment 2055886View attachment 2055887View attachment 2055888View attachment 2055889View attachment 2055890View attachment 2055891View attachment 2055892View attachment 2055893View attachment 2055894
Wanabadilisha id illa miandiko wanashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We shog*a Opportunity Cost umekujatena na id mpya Geza Ulole njoo huku umtambue mwenzio huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongea na mimi nitakununulia chapo bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe kichwa malenge umeona nikiongea na wewe, fool
Nyerere bridge
AiseeeeeeeeeEti mtu anaita linear development ya vijighorofa vitano skyline [emoji23]
lwiva. mataa kusini mwa tanzania sio mwangaza wa stima, bali nadhani ni forest fires kama zile za australia. hebu confirm tena kwenye google earth uone kama hizo mataa bado vimo? NGOO!