hii habari ni kweli comrade?.serikali yao imepiga marufuku kupost picha halisi .....wakifanya hivyo ni kosa la jinai kwao .......nairobi bila photo editor nothing,nairobi bila kutegea angle nzuri yakupiga picha ni kesi......siunajua picha za jiji ni mali ya serikali hivyo wametengeneza deal na google[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapana inakaa dubai.[emoji23] [emoji23]Hii inakaa Mombasa...
sent from iPhone 7
hii ni nyali au?kama ni dar basi ntaipambanisha na nyalikenyans are right,Nairobi is great,you can tell that by looking at these beautiful buildings below.this is Nairobi guys.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo pia anatumia iphone 7πππyou must be using a very cheap mobile phone.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ilete hio nyali yenye floor kuanzia 10 and above naisubiria hapaππππhii ni nyali au?kama ni dar basi ntaipambanisha na nyali
we waropoka nni na nakumbuka ulikurupuka hivihivi ulipoifananisha msa na mwanza...ukapotea kabisa baada ya aibuIlete hio nyali yenye floor kuanzia 10 and above naisubiria hapaππππ
Nasubiri kuona picha ya nyali ya kuanzia gorofa 10 kwenda juu πππππππwe waropoka nni na nakumbuka ulikurupuka hivihivi ulipoifananisha msa na mwanza...ukapotea kabisa baada ya aibu
Mombasa ipi? Weka picha ku proveHii inakaa Mombasa...
sent from iPhone 7
we nikalulu sana...google shehena marina.sina time yakujibizana ujingaNasubiri kuona picha ya nyali ya kuanzia gorofa 10 kwenda juu πππππππ
Ctaki blah blah nataka picha
Nyali ndio ifanane na Upanga? Labda kama ni Nairobihii ni nyali au?kama ni dar basi ntaipambanisha na nyali
marina ina 10 floors???πππwe nikalulu sana...google shehena marina.sina time yakujibizana ujinga
kuna kipi cha maana kwa hiyo picha aliyoieka..nyumba zimechokachoka
google is your friend..tafuta sheheena marina.marina ina 10 floors???πππ
Hahaha floor tatu unatuletea hapa
ππππ maneno mengi kumbe unatafuta sababu tu...tafuta miwani uvae ndugukuna kipi cha maana kwa hiyo picha aliyoieka..nyumba zimechokachoka
Nimeona floor 4 hakuna zaidi hahahhagoogle is your friend..tafuta sheheena marina.
hapana,hii ni nyali au?kama ni dar basi ntaipambanisha na nyali
bwege sana wewe..ati hakuna 10 floor.tukiwaambia dar inakaa msa mnaropoka.Nimeona floor 4 hakuna zaidi hahahha
πππππππ kama vp pumzika
Tuletee basi hio pic ya nyali yenye 10 floors and above maneno mengi ya nnππππbwege sana wewe..ati hakuna 10 floor.tukiwaambia dar inakaa msa mnaropoka.