Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo ni maneno tu vitendo ni sifuri tena ukizindatia vision ya uchapa kazi magu kaionyesha ,wewe unafikili bila magu kuwa raisi samia angejua la kufanya zaidi ya kula bata tu
 
Jpm alikutana na matatizo mengi sana lakini aliweza kuyavuka na maadui wengu sana ukweli ni kuwa mpaka sasa mama ajafanya lolote la maana tena hata vision yake hakuna anayeijua kwa sababu ni jamii za vibaraka tu wa mabeberu anasubiri mwongozo kutoka kwa wazungu
 
Thika Iko on fire 🔥🔥
 
But honestly I thought massive slums in the continent are in Nairobi,
Kumbe watu wa kisumu nao hawataki kubaki nyuma kabisa View attachment 2051614
Huwa wanasema ni Kibera hii, mm huwa nawaambia wataje county yoyote Kenya alafu mm nitawaonesha slums, wanakimbiaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huoni wameacha comparison ya Kipoison vs Arusha, eti Arusha ufananishe na Kisumu kisa cheap flyover ya porini isiyo na lami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shukran sana mkuu, tunaendeleza moto [emoji91][emoji91] mpk hawa mbwa wakimbie battle, tukitoka hapa tunaenda twitter kuwaalika wakunya wote waje humu wachezee vitasa, wakisusa tunawafuata huko huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naongezea na hawa [emoji116][emoji116]

Alhaj Profesa Sir joto la jiwe, Naton Jr

xng hua eliakeem fundi wa modern photos engineer NDINDA mzee wa kufukua babayao255 kizazi kipya Sama boy 255 silent killer chongchung mzee wa kumaliza game over kiboko ya wakunya mwenyekiti wa battle sheikh ichoboy01 Katibu mkuu wa battle a.k.a the encyclopedia Geza Ulole list itaongezwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…