Na ukifika Moroni? Unawajua wa Comoros? Umeshawasikia wakizungumza ? Kumbuka Comoros nikama Tanzania! Hamkijui Kiswahili end of story!As usual, no evidence just plain and stupid words. If you come to Kenya and hear kigiriama language you will mistake to kiswahili. So there's nowhere the researcher will mention Mozambique tribe just to appease them. Kiswahili is a Kenyan language with arabic loan words. Lamu town is the oldest Swahili civilization👇👇👇View attachment 2050139
Ni SawaUpo tayari tu battle kwenye universities and colleges tu, between the two territories?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndo atakoma 🤣🤣🤣KENPAULITE alishamaliza [emoji116][emoji116]View attachment 2050156
Mkunya kila kitu kimetokea kwao tuwe tunawaelewa hawa wanapenda sifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila we jamaa ni kilaza sana kwahyo hii ndio fact yako.? Yani umeenda tu google uka search alafu eti ndio fact 😂😂😂 we ulishawahi kuhudhiria hata darasa moja...? Zipo research kadha wa kadhaa kuhusu kuhusu kiswahili na conclusion ni kwamba kiswahili ni kiunguja .. wasiseme waarabu kumiliki kiswahili useme wewe wa mombasa.? 😂😂😂 Ambae kiswahili kilikufikia baada ya sisi kufanya biashara na merchants wa uko.? Sikiliza mzee kitaaluma nilikaa darasani kusoma kiswahili mpaka advance, yani kuanzia chekechea mpaka form six, mlevi kama wewe nakudharau tu
Still Kenyan language 🚮🚮Na ukifika Moroni? Unawajua wa Comoros? Umeshawasikia wakizungumza ? Kumbuka Comoros nikama Tanzania! Hamkijui Kiswahili end of story!
lol......vituko tuArusha airport 👇🤣🤣View attachment 2050715
Kisumu has a real city vybe....arusha ni ushamba tu.....atleast wamejengea watalii wa kilimanjaro na serengeti tu resorts kiasi
Hii haina tofauti na michezo ya kitoto ikipita gari wanagimbania lile langu . Yaani Kiswahili kiwe chenu halafu msikijue . Yaani ukunya Hadi mda mwingine nabaki kuwaangalia tu . Yaani iweje kitu kiwe chako halafu haukijuiStill Kenyan language [emoji706][emoji706]
😂😂😂 Itabidi tuwaelewe ndugu zetu wa kujikweza katika hakunaMkunya kila kitu kimetokea kwao tuwe tunawaelewa hawa wanapenda sifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo ni siku ya tatu you ar busy posting your tinny village center 😂😂😂kisumu beibeeView attachment 2050759
Kiwe cha kikunya na msikijue? Kichwani kutakua empty!Still Kenyan language 🚮🚮
Kipoison 🤣🤣🤣🤣Kwa Kenya Manispaa za Tanzania ni majiji.Hiyo kipoison labda kidogo inaizidi Morogoro lakini Arusha iko juu zaidi kwa kipoison
Ukweli Kipoison ni one street village. Hata Morogoro ipo hatua kwa hiki kituko chenukisumu beibeeView attachment 2050759