Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol....I have been to your Arusha 7 times.....Mwanza 2 times.....infact there are some grass thatched villages around arusha town......there's nothing it's got on kisumu
Peleka matako mbele 👇this is outside Arusha CBDs .. una lipi la kusema.? Unaweza leta eneo la nje ya CBD Kisumu lenye maendeleo sawa na hili.?
 
Bruh you don't have to use rendas and old photos .. usiimpe nguvu jirani.. Arusha ni kubwa mno na Ina maeneo ya wadosi mengi mno.. tutafute picha za Arusha ya leo
 
hizi ndio ujinga unafananisha nayo Kisumu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oh dear lord
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so after writting two empty sentences, it means Arusha lose a battle? What a fool[emoji23][emoji23][emoji23] nenda kacheze na watot wenzio
 
Ni wivu ndio baba yako mzazi?nenda ukanywe githeri [emoji23][emoji23][emoji23]akili irud
 
Shida moja ya hii battle ni kwamba.. wenzetu hawa wanapost picha mpya kila kukicha, sisi tumekazana na picha zile zile za Mwaka 47, sasa tutawezaje kuwafanya waamini kwamba tuko vizur.? Ilihali kila kukicha picha tunazopost ni zile zile.? tuwe na utamaduni wa kutafuta picha mpya au kupiga picha mpya, na hii ndio maana halisi ya battle .. Dharau kama za kijiji cha Kisumu kulinganishwa na ARUSHA City zisingekuwepo kama tungalikua tunapiga picha mpya kila leo na kuzitupia humu.. kuna shopping centers kali kabisa 5 in Arusha mimi nimefika, lakini ikiingia hata google .unaletewa Aim Mall pekee.. sijui hii picha alipiga nani 👇safi kabisa, Kwanini na sisi ili tusiwe tunapiga picha za hivi nzuri na kuonyesha uhalisia wa miji yetu na maendeleo yaliyopatikana kwasasa.? .. tunakwama wapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…