Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya power live line team

live line 1.jpg

live line 2.jpg

live line 3.jpg
 
Haya mambo bhana yanachekesha sana innovation .? Kenya.?

ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo

Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.

Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa .. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri ×3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa

Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz View attachment 2047379View attachment 2047380View attachment 2047381View attachment 2047383View attachment 2047386View attachment 2047387

Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
Na wao waoneshe miradi inayofanywa na Wakenya kwa mikono yao
 
najua nimechelewa.. ila ninachotaka kukuambia wew kweli ni boya.. na huna akili..
Tanzania miaka sijui zaid ya ngap saiz .. tunapima magar yakiwa kwenye hata mwendo
Ata umekuja mapema, haya leta hapa proof sasa tuone si stories
 
Haya mambo bhana yanachekesha sana 😂😂😂😂 innovation .? Kenya.? 😂😂😂

ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo

Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.

Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa 😂😂😂.. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri ×3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa

Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz 👇View attachment 2047379View attachment 2047380View attachment 2047381View attachment 2047383View attachment 2047386View attachment 2047387

Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
Ujinga ni pale mtu anapoandika insha refu bila content. Kijana wa Tandale, haya mambo si ya kutoa vijiweni mkipiga gumzo na vilaza wenzako kisha kuyaleta hapa. It's about using reliable evidence to prove your claims. Hebu niletee ranking yoyote inayoweka Tanzania mbele ya Kenya kwenye HDI for example. Mambo yote ambayo nimeswma ni vitu naweza dhibitisha kutumia evidence ila wewe unayotoa mk***ni. Si unaona ulivyo mjinga na desperate?
 
Sindano imegonga mfupa
 
Hii ni kineember ya mamaqo.

Kitu nimegundua ni mnataka kuongopa humu kuwa Kenya hamtumii tena wooden poles kumbe bado zinatumika sana tu.

Zinatumika ila asilimia kubwa ni concrete poles while kwenu asilimia kubwa bado ni miti.
 
Wewe ndio jinga, hujui kwamba hiyo miti huku tunalima Kama tunavyolima mahindi, tomato na machungwa?, We make money from tree plantations the same way you make money from tea, sugarcane plantations, due you destroy environment when you harvest sugarcane for your sugar industries?
Stats says otherwise
1. You aren't self sufficient so you import 150m$ worth of timber to cover the deficit

2. The timber industry in tz just like many sector isnot regulated leading to illegal logging.

CAG says 96% of trees cut is done illegally
Screenshot_20211217-143517_1.jpg
👇👇
Screenshot_20211217-143543_1.jpg
 
Back
Top Bottom