Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio jinga, hujui kwamba hiyo miti huku tunalima Kama tunavyolima mahindi, tomato na machungwa?, We make money from tree plantations the same way you make money from tea, sugarcane plantations, due you destroy environment when you harvest sugarcane for your sugar industries?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wauza mitumba wa Gikomba? 🤣🤣 Wako pale Majengo wanaishi huko. Hawajafukuzwa. Tukiwa na roho mbaya kama nyinyi tuwafukuze mtajionea wakilia.
 
Sasa mbona unazungumzia kitu kilekile alafu unasema hatuna.? Heb leta kwanza iyo moja ambayo umeshaanza kufanya kazi tuione
He was very specific hadi akasema virtual weighbridge. Ila kwa ulimbukeni wako ukaja kutoa povu. Hizo normal weighbridges zinapatikana nchi zote duniani so don't make a fuss about them. We are talking about virtual weighbridges here. There's a very big difference
 
Largest wooden poles industry in Africa is in Tanzania


Largest concrete pole industry in the region is in Tanzania as well

Yani huna aibu kuniwekea video ya kutengeneza nguzo za mti? Yani kiwanda kilianza kutengeneza nguzo za mti 2016 ndio unatuwekea?🤣🤣🤣
 
Kama ambavyo hao raia wa Kenya hapo Namanga tuliwafukuza wakalalamika, mkijaribu kuwagusa hao watanzania hapo Gikomba, lazima tuwapige, ninyi mnatuogopa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawafukuzia nini, sisi hatuna roho za kichawi na kitoto, kwani wakenya ndio hawako tanzania?
 
Barabara hamtuwezi Wacha kujidanganya msee and health sector pia Wachana nayo we ongelea sgr Na brt pekee and investment of a country does not only rely on two infrastructures what about technology? What about innovation? Ict? Social development? Citizens wellbeing? Equality? Education. All your money mnarusha to few countable projects forgetting a country is more than just an sgr that will serve only a few of the citizens
 
Wale ni ombaomba wa barabarani
 
Innovation tumewaacha
ICT tumewaacha
Social development tumewaacha
Human Development index tumewaacha
Quality of education tunewaacha

Yani hawa ni kujifurahisha tu
 
Kiswahili ni lugha ya Tanzania, Kiingereza ni lugha ya Waingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thats funny tangu lini Kiswahili ikawacha kuwa a costal language ikawa lugha ya watanzania? Sasa hivi Kenya waanze kuongea kiharabu utasema kiharabu Ni lugha ya wakenya? Chenye unatumia Wacha kabisa Kiswahili Kwanza Somali Kenya Tanzania Hadi Mozambique all that coastal line invented Kiswahili Tanzania waliamua tu kukitumia as a national language si Chao Hilo ukumbuke... Kisukuma au kichaga au sijui lugha yako ndo yenyu
 
Kwahiyo ombaomba pia mnawaonea wivu kwamba wanachukua nafasi za wakenya mnataka kuwafukuza?[emoji23][emoji23][emoji23]
They are reaping hardworking of their money but we sympathies with them at the same time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…