Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawana Biashara Kenya, Sasa watafungiwa Nini.[emoji1787][emoji1787]
Wale ambao Jaguar alilalamika kwamba Kuna watanzania wamejaa Kenya wanachukua biashara za wakenya kwahiyo wafukuzwe, Tanzania tulipokuja juu mkamfunga kwa wiki Moja[emoji23][emoji23], mnatuogopa Sana hamuwezi gusa watanzania huko Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lengo lako unataka tuwe na space program ili tutatue tatizo gani ambalo ni kipaumbele kwasasa hapa Tanzania?, Mkuu kupanga ni kuchagua, hizi nchi zetu ni masikini Sana na uwezo wetu ni mdogo Sana wa kufanya Mambo mengi kwa pamoja, "space program" kwa nchi ambazo hata maji ya kunywa hayajawafikia wananchi wote, bado hakuna madawa ya kutosha, wananchi hawana chakula, bado barabara nyingi ni vumbi hazipitiki kipindi cha mvua, ni serikali isiyojitambua ndio itakimbilia kuwekeza katika space programs.
 
Hahahaha, Jaguar alilalamika kwamba watanzania wamejaa Kenya wanachukua kazi za wakenya akataka wafukuzwe, Tanzania tukatishia kuivamia Kenya mkaogopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
baba levo hoy
Baba levo ashasema mwenyeweee miaka ni ishiri na mitano ndio mtufikie, huyu bwana keshakuja kenya ...akajionea....akakubali...sasa hao bichi vidimbwi wengine waje wajioneee waache ubishi
 
wachaga wamejaa gikomb
Hahahaha, Jaguar alilalamika kwamba watanzania wamejaa Kenya wanachukua kazi za wakenya akataka wafukuzwe, Tanzania tukatishia kuivamia Kenya mkaogopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania wanauza nguo na viatu kuukuu
 
Hahahaha, Jaguar alilalamika kwamba watanzania wamejaa Kenya wanachukua kazi za wakenya akataka wafukuzwe, Tanzania tukatishia kuivamia Kenya mkaogopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaguar alilalamika mnajaza gikombaa market, unajua gikomba? Wachaga wamejaa huko
 
Kwani local supplier wana deliver concrete instead of wooden? Pamoja ni local suppliers but sourced from Tanzania
Tanzania ndo wajinga Sisi tunahifadhi Miti but we exploit Tanzania forest inaitwa akili. People don't stop using tree poles sababu Ni mbaya they stopped because they destroy the environment but if we can source from Tanzania watumie tu za Miti coz no biodegradable I love that guy who said we source from Tanzania he is a very wise guy
 
Tumeshakubaliana kwamba bado mnaconnect umeme kwa wooden poles au bado hatujaelewana?
Yes zikitoka Tanzania we connect Na wooden but if it's from Kenya we use concrete ndo tusiharibu mazingira yetu. We Tring to balance Na tulinde mazingira
 
Watu wanakufa njaa pia na huduma za afya mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…