The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kuhusu kutokea nchi gani kwa chatered co shida, chatered inatua popote lkn huwezi kusikia France Air au Swiss air au British ikatua popote.Unafaa kuuliza imetokea nchi gani, au hujui international inamaanisha nini.
In comparison to what Ghana ama?ghanan sport journalist huyu ambae yupo bongo now
Naona umekuja na ur kawaida ID kumbe Roho mbaya is your other ID, enyewe wewe ni hitler mswahili roho ya kichawi[emoji23]Kuhusu kutokea nchi gani kwa chatered co shida, chatered inatua popote lkn huwezi kusikia France Air au Swiss air au British ikatua popote.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbuzi alikua analazimisha Arusha itoshane na Kisumu kama vile wana force Dar to level na Nai., hawatakoma ila wananyooka wapende wasipende, kila kitu kiko wazi kwa google earth sasa ni domo domo kujitetea 😂 😂 😂 😂
International in this context ni kuvuka boarder ya nchi moja hadi nyingine, hio ndege ilikua imetoka Switzerland direct flight to Kisumu International Airport. France Air au Swiss Air hizo ni commercial airlines while hii ni Chartered.Kuhusu kutokea nchi gani kwa chatered co shida, chatered inatua popote lkn huwezi kusikia France Air au Swiss air au British ikatua popote.
Wakenya hamna akili, kwahiyo unataka kusema tulikuwa hatutumii nguzo za zege, alafu hilo tangazo ni la enzi za Magufuli kwamba iliamriwa kuanza kutumika nguzo za zege kwa asilimia kubwa co kama zamani nguzo za zege zilitumiwa kwa asilimia ndogo kama huko kwenu, now mijini na maeneo yaliyochangamka wanaondoa nguzo za miti wanaweka za zege, nyie kwenu kuna nguzo za miti mpk CBD kama unabisha jikune uone.25 years behind
Sijakuelewa.Naona umekuja na ur kawaida ID kumbe Roho mbaya is your other ID, enyewe wewe ni hitler mswahili roho ya kichawi[emoji23]
Don YF umekubaliavailable only in DAR ES SALAAM,Tanzania 😀 😀 😀
Umejua jiji za TZ kwa ground hakuna kitu. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 View attachment 2046348View attachment 2046349View attachment 2046350this is the so called City of Kisumu and everything best in the city.. 😂😂😂 what else.?
Hahaha mtu wa kuokota mapicha ebu leta hizo nguzo za town tuoneWakenya hamna akili, kwahiyo unataka kusema tulikuwa hatutumii nguzo za zege, alafu hilo tangazo ni la enzi za Magufuli kwamba iliamriwa kuanza kutumika nguzo za zege kwa asilimia kubwa co kama zamani nguzo za zege zilitumiwa kwa asilimia ndogo kama huko kwenu, now mijini na maeneo yaliyochangamka wanaondoa nguzo za miti wanaweka za zege, nyie kwenu kuna nguzo za miti mpk CBD kama unabisha jikune uone.
Maumivu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., hadi unatamani Kisumu iwe na estate moja 😂 😂 😂 😂 😂 pole, watu wa google earth mlaaniwe sana!, mnaanika ukweli mchana! 😂 😂 😂 😂 😂
Ground ipi unazungumzia mzee.? 😂😂😂Umejua jiji za TZ kwa ground hakuna kitu. 😂😂😂
Mm nikuongopee wewe napata faida gani. Hapa nimechanganya mjini na vijijini kote huko mnatumia nguzo za miti mpk wa leo.Hahaha mtu wa kuokota mapicha ebu leta hizo nguzo za town tuone
Hahahaha, liver transplant is much more advanced procedure, Kama kipato chako hakiwezi kufanya ujitosheleze kwa chakula, huwezi kuwa na uwezo wa kununua gari, just simple logic[emoji23][emoji23][emoji23]Nani Kasema lazima mfanye bone marrow ndio mfanye liver transplant? Nyinyi mbona mmeshindwa liver transplant mkafanya bone marrow?
Onyesha video watanzania wakilalamika kufungwa kwa biashara na kufukuzwa Kenya, tukisema wakenya bila Tanzania uchumi wenu unasinyaa Huwa mnabisha, Kenyans need Tanzania than otherwise.Hawa wanalalamika kufukuzwa na kufungiwa biashara. Ukiwa mwanabiashara ufukuzwe bila ilani popote ulipo utaumia. Nataka video wakenya wakilalamika eti Tanzania imekataa kuwauzia mahindi maanake nyinyi husema mnatulisha tukiwaambia sisi ndio tunawafanyia favor kununua mahindi yenu hamsikii.
tunataka Jina ya hii estate........View attachment 2046354
Can you show me the best estate in Kisumu beside this shit hole .?
Sio Nairobi tunayoimbiwa humu imeachana na nguzo za mbao 20 years ago wakati woodpoles kila siku zina toka Tanzania kwenda Kenya?Such a calm city Dar should take a leaf View attachment 2045881View attachment 2045882View attachment 2045883View attachment 2045884View attachment 2045885View attachment 2045886View attachment 2045887View attachment 2045888View attachment 2045889View attachment 2045896View attachment 2045900View attachment 2045897View attachment 2045899View attachment 2045898View attachment 2045903View attachment 2045902View attachment 2045906View attachment 2045907View attachment 2045908View attachment 2045909
View attachment 2045901
View attachment 2045904
leta street view za arusha village wacha kuhepaView attachment 2046354
Can you show me the best estate in Kisumu beside this shit hole .?
Is this in Arusha.?tunataka Jina ya hii estate........View attachment 2046390