Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye hii Video Mwisho mwisho si kama Manzese tu, Nilidhani hawana maeneo kama haya [emoji1787]. Tena Manzese Magorofa mengi.

Mkiambiwa haya maslum wanaishi watu 2.5 muwe mnaelewa. Ngoja yaje na picha ya vipandevipande
 
Umeishiwa unabweka tu ......ati arusha lol
Heee ajabu kweli, nimepost streets ngapi zenye zipo na NMT.? Nimeishiwa mimi au wewe.? 😂😂👇 na hizi streets tu za makazi na zote ziko na NMT . street level ya Arusha ni sawa na NAIROBI tu 👇 . .
 
Kufa na uchungu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna ranking hata moja ya health from trusted sources inaiweka bongo mbele Kenya.
Onyesheni wapi na lini liver transplant ilifanyika Kenya, sio kitu kidogo kufanya Liver transplant, lazima kuwepo na media nyingi kutangaza, kwa mfano "The first person to undergo liver transplant in Kenya", wekeni lini mgonjwa wa kwanza alifanyiwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbwembwe ni za wabongo. Kuna vitu hazitushtui sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…