Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli imekutesa mzee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ anza safari tokea Mombasa, endesha gari lako hadi Nairobi, endelea, panda upite Naivash, uingie Nakuru city, upite ufike Eldoret, kule mwisho ukitoka Eldoret kuelekea Uganda, utapata njia panda sehemu inaitwa maili tisa, moja ya kuelekea Bungoma all the way to Malaba border na ya pili ya kuelekea Kitale kupitia Moi's bridge, ukipitia ya Mois's Bridge, from kitale utaendelea na kuelekea Lodwar, fuata hiyo highway utafika Turkana.., hakuna sehemu utakosa lami kwa huo mwendo wote.., tumia google earth kilaza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Njia ya pili kutokea Tanzania, ukiingia kenya kupitia Isbania border kwa wa Kurya., fuata hiyo njia utapita Migori town, uje upite Homa bay utafika Kisumu City., endelea pita Kisumu nenda moja kwa moja hadi Kakamega, utapita Chavakali interchange, endelea hadi Webuye, utapata interchange nyingine kwa junction ya njia ya kutoka Eldoret kuelekea Malaba, usipande juu, pita njia ya kando, join the road heading to Webuye town, then utapata interchange pale Webuye sehemu inaitwa kwa Dina, pita chini ya interchange, join the junction ya kuelekea kitale., utafika Turkana., lami smooth!!
Achana na huyo mjinga. I decided kumnyamazia. Don't you know wote ni wabishi? He'll still come back disputing this detailed description
 
1639491268071.png
 
Kwamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kariakoo it self ni kubwa kuliko CBDs zenu zote tatu combined .. uje utaje ka eneo haka πŸ‘‡View attachment 2043966you must be fucking crazy
Mbona tuandike kwa mate na wino upo.., eti Kariokoo.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Na niongeze Buruburu, bado ni Eastlands.., no pipeline
 
Achana na huyo mjinga. I decided kumnyamazia. Don't you know wote ni wabishi? He'll still come back disputing this detailed description
Wengi wao ni kama that presenter, the way he was arguing na Baba Levo., kiufala sana if u watched the clip, mitanzania πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ni kuinua tu view juu kidogo, kisha ndani., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Na ndio haipo ivyo, Kariakoo sio yote, hakuna ilala, hakuna taifa mpaka uhasibu, hakuna mwenge mpaka mawasiliano, hakuna makumbusho, Ila hapa πŸ‘‡ kila kitu kipo ndani .. tinny town of yours πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1507327_tapatalk_1492460480845.jpeg
 
Na ndio haipo ivyo, Kariakoo sio yote, hakuna ilala, hakuna taifa mpaka uhasibu, hakuna mwenge mpaka mawasiliano, hakuna makumbusho, Ila hapa πŸ‘‡ kila kitu kipo ndani .. tinny town of yours πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 2043974

Na hii view iko karibu kidogo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1639491677425.jpeg
 
Wote ni kama that presenter the way he was arguing na Levo., kiufala sana if u watched the clip, mitanzania πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tukitaka kubishana critically hamtaki kazi kukimbilia maneno ya mpumbavu mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .. hivi ni vitu vinavyoonekana mzee kila mwenye macho anaona sio blah blah, kuona ni kuamini
 
Akili yako Iko limited sana we jamaa..maoni ya mtu yasikusumbue kichwa ,πŸ˜‚πŸ˜‚
Am not an idiot like you, yaani uko too obvious unajitia hamnazo, nyambaff πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., mzungu was very objective, huu ukweli utawatesa na bado more are loading, tulia tu utajionea, povu ruksa.,
 
Back
Top Bottom