Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna umeshinda mbona kelele mjuba[emoji1787][emoji1787]
 
Nakucheka kw dharau sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya Kenya kushindwa na Tanzania katika kufanya "Bone marrow transplant, Choclear implant, Sasa hivi Kenya inaanguka tena katika "Concrete road"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera[emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna umeshinda mbona kelele mjuba[emoji1787][emoji1787]
Mbn unakubali kinyonge hivyo? Nyinyi ni nchi ya hovyo sn hapa Afrika msioweza kwenda bila mikopo, yn mnategemea foreigners waje wawajengee nchi huo ni upunga kanchi kenyewe hakana rasilimali, kitu ambacho foreigners wanategemea hapo Kunyaland ni upumbavu wa wakunya, na vile mpo wengi basi foreigners wanapiga pesa kupitia uwingi mlio nao plus ulimbukeni wenu.
 
kwani mbagathi way ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…