Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2040830
Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
Duh, Aisee hii picha nimeitafuta sana, hii niliona wakenya wenyewe kule SSC waliiponda sana, sasa hii ndio inaitwa kitu live bila chenga 😀
 
Hii picha mwenyekiti ichoboy uitunze sana hii inajibu kila swali huko mbele.
 
The higher you go the smaller it becomes

View attachment 2040882
Hiyo ni sehemu ndogo sana kwa Dar hata iyo Kariakoo yenyewe haonekani yote, hapo kuna mji wa karibu kabisa Upanga na hakuonekani pia, hapo umeonyesha eneo dogo mno, hakuna picha mona ambayo inaweza onyesha Dar yote, ila kwa Nairobi kwasababu ni kamji kadogo inawezekana 👇high ways, stadiums, airports, railway station, Flyovers, CBDs, Rich neighborhoods, slums na kila kitu in one photo 😂😂 unabisha.?
 
Niletee GTC kwa hii picha pekee tu
 
View attachment 2040830
Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
Sasa kijiko nyama ina maendeleo gani kwa mfano? Maendeleo ya vijighorofa kando ya barabara na uswazi pembezoni?
 
Mzee labda mababu WA kwenu. Sehemu nyingine hata mnyama wa kufungwa aki practice huo mchezo anauliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…