Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba, ila mkopo watalipa watanganyika 🚮🚮🚮🚮
 
Upanga moja hiyo mkuu, ishawekwa humu sema cc huwa haturudii rudii picha ndani ya mda mchache kama hawa kima, utakuwa sehemu inarudiwa hata mara kumi kwa siku, wanabadilisha angle tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

safi sana.. naona pemba nao wanapata airport..
kwa jicho la kimichezo.. nilitaka hii mikoa iwe na international airport pamoja na viwanja vya mpira vya kisasa.. Tanzania Bara vi4 (Dar, Dodoma, Arusha-KIA, na Mbeya) na visiwan vi2 (Pemba na Unguja). Hio mikoa pia kuna hotel za kutosha..
Tukiwa na viwanja vikubwa 6 kama vya mkapa Bara 4 (over 50k capacity) na Visiwan 2 (at least 30k capacity).. Tanzania tunaweza hata kubid kuhost WC [emoji41] au AFCON au mashindano yoyote mengine ya mpira
shida kubwa katika mahesabu yangu ilikuwa ni pemba kukosa airport, ila naona wanajenga airport.. nafsi imesuuzika.. bado viwanja sasa[emoji2957]
 
Hehehehee naona umekuja na Id mpya tena, sema mwandiko ndio huwa unafeli kubadili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwani wanapendelewa au ni formula ya mgawanyo ndivyo ilivyo? Wewe lalamikia fomula sio kulalamikia anaefuata fomula.
Formula ipi? Zanzibar kwa miezi 8 tu Imeshapokea trillion 4 kwa mgongo wa Tanganyika, zanzibar ina watu million 1.5 wakati Tanganyika ina million 60, hiyo formula ndio inataka hivi?
 
Upanga moja hiyo mkuu, ishawekwa humu sema cc huwa haturudii rudii picha ndani ya mda mchache kama hawa kima, utakuwa sehemu inarudiwa hata mara kumi kwa siku, wanabadilisha angle tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upanga ni kubwa sana hata mara tatu kushinda hiyo uperhil.. Kwanini nasie tusipige picha mpya nyingi ili kukomesha hizi kelele zao .? Mana hiyo mitaa sasahiv kuna gorofa nyingi mpya zinazojengwa na zilizokamilka ..
 
Formula ipi? Zanzibar kwa miezi 8 tu Imeshapokea trillion 4 kwa mgongo wa Tanganyika, zanzibar ina watu million 1.5 wakati Tanganyika ina million 60, hiyo formula ndio inataka hivi?
Unaweza kuthibitisha madai yako? Formula ni 25% ya kila kitu cha Muungano Zanzibar wanatakiwa kupata.

Hata wangepata til.100 ishu kubwa ni wamefuata fomula yagawanyo ambayo haikuwa ikifuata.

Narudia tena wewe lalamikia waliiweka fomula sio wanaosimamia utekelezaji wa fomula.
 
Kwahyo hizo huzitaki au .? Au kwasababu zinakunyima amani.? 😂😂😂 Nyie ni mafala sana. Au hizo picha nimepost mimi sio makumbusho.?
All the pictures you have posted are summarized by this one aerial view shot.

 
Umeelewa nilichoadika.? Nimeandika wapi kama ukipiga picha kijitonyama hilo jengo hakuonekani.?
Kwa hivyo unakataa maneno yako mwenyewe? Typical bongolala
 
All the pictures you have posted are summarized by this one aerial view shot.

View attachment 2040829

Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…