u
tavor x95 imefungwa grenade launcher 45mm kama sjakosea
n silaha ya kiisrael nzuri kwa mapigano ya karibu thats why special forces wanazitumia (navy commando ao waliovaa black)
Ukraine pia...Check Lugumi Enterprises, Atakua ana supply hii mizgi ya Israel. [emoji41]
Sawa madam umeshinda.Elimu ya tanzania ni kituko walai, yani mpka unajipiga kifua km umeendesha gari UK lkn hata vitu simple hujui mjomba...
Km kitu hujui si useme ufundishwe tu jamani
yah ni yeye napenda anavo pambana amefanya kazi nchi kadhaa he is the next $billionaireCheck Lugumi Enterprises, Atakua ana supply hii mizgi ya Israel. [emoji41]
Zezeta 1 la Kikunya
Hata wakisaini agreements 100 as long Kunyaland is beaten watalalamika!Tanzania is the biggest Exporter to Uganda, Burundi, Kenya and Rwanda, how is Tanzania closed country?, Wakenya mpo na shida Sana, kwasababu tunakwaruzana na Kenya hiyo tu ndio unasema Tanzania is not open country?, Unakumbuka sababu alizosema Magufuli kwanini alikataa "lockdown" kipindi cha Corona?, Ili asihathiri biashara na nchi jirani zinazoitegemea Tanzania, huko ndio kuifunga nchi?
Laana ipi?laana haitaisha alooo
Na bado mtarudi kukodi choa za Kenya ikifika time za campaign.Iliua ndugu yetu ni kichopa cha Kenya lakini kilikua kibovu
Watu wanashingilia adopting industrialization lakini nyinyi bado mmebaki kwa agrarian revolution. Mnalima, tunanunua toka kwenu, we process and then resell the final product back to you.Ambae hana chopa anakodi kwa mwenzie na ambaye hana CHAKULA ananunua kwa mwenzie nani anashangaza???