NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Wakenya angalieni silaha zetu baadhi tu
Nyumbu wamekaa kimya wanafanya mambo yao.

Made in Tanzania.
Wakenya angalieni silaha zetu baadhi tu

left side sio pori ??🤣🤣🤣 au mm ndio sioni
Nyumbu wamekaa kimya wanafanya mambo yao.
Made in Tanzania.
View attachment 2038229
View attachment 2038230
View attachment 2038232
View attachment 2038233


Achana zile ambazo hazioneshwi tupo vizuriHizo sio slums, zoom kwa karibu ujionee
Mbona kienyeji hivyo? 😳 🤔🤔 😂 😂 😂Nyumbu wamekaa kimya wanafanya mambo yao.
Made in Tanzania.
View attachment 2038229
View attachment 2038230
View attachment 2038232
View attachment 2038233
Ata kwa Uganda hamtoshi, vifaa gani hizo mnaanika mbele ya watu? kisha unapiga kifua 😂 😂 😂 😂 ., chunguza Rwanda ama Uganda kwanza., zenyu zinakaa kienyeji sana, tazama hayo malory, zima moto zinafanana model ya kizamani 😂 😂 😂 😂 😂 ., ningekua mtanzania nisingepost hizo picha za sherehe mnapost humu., ilikua somewhat down!! speeches????., mvutio haukukua, afadhali ata show ya Diamond ama game ya Simba vs Yanga.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Battle la jeshi Tanzania tupo mbali Sana tumeshinda 10 _0
We matako kweli, Tanzania zipo toka June, ninyi zimeingia December 🤣🤣🤣🤣This car just started selling by Toyota Kenya. It has not been sold in any other East African nation other than Kenya. Wachana na mambo ya Nagari bradhee, it's clear hujuo kitu.🚮🚮
View attachment 2037881
Nyumbu wamekaa kimya wanafanya mambo yao.
Made in Tanzania.
View attachment 2038229
View attachment 2038230
View attachment 2038232
View attachment 2038233
We matako kweli, Tanzania zipo toka June, ninyi zimeingia December 🤣🤣🤣🤣
Tanzania zipo used kwenye showrooms tayari