Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi Kilimani hapoπŸ˜‚Aki si Nairobi iko na CBD nyingi mapaka inachanganya wapoko
kilimani ina kitu gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ikiwa robo tatu ya nanirobi imo ndani humo mpaka ukubwa wote wa misitu pia ndani
 
Leta facts hapa kilimanjaro ina attract mire visitors than maasai mara ,si umbea za ichoboy hapa, ichoboy dera si kanzu[emoji23][emoji23]
so umenikasirikia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mpaka unanitaja mm nakwambia huo mlima unaingiza watalii wengi kuliko masai mara nasio watalii mpaka mapato ni makubwa kuliko masai mara
 
Tanzania hakuna hela lazima atafute show Kenya., mifukara., cheap entry tickets, la sivyo ni muskize kwa radio tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
tunakuja kuchukua pesa za masikini huku wasanii ni wengi na ratiba zimejaa🀣🀣 kwenu music industry ilishakufa na sisi ndio tumeshika waache vijana wachukue hela zenu waje kujenga majumba na viwanda tanzania
 
so umenikasirikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka unanitaja mm nakwambia huo mlima unaingiza watalii wengi kuliko masai mara nasio watalii mpaka mapato ni makubwa kuliko masai mara
Wachana na dera bana, taarabu zitakuharibu msee
 
Curtain ya nn wkt mlima uko nyumbani na tuko mbali kimapato au hutaki.

5,801-919=4,882 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2036619

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ******* bila kutaja anything Tanzanian hawajioni kama wapo alive πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa gape la dollars billions 5 bado tuwawaze? Pamoja na kusema Kilimanjaro ipo kwao bado wanabamizwa 🀣🀣🀣
 
Baboon wewe na nyang'au wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…