KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,314
Facts vs twitter propangandaKwamba majengo kila siku yanaporomoka yale yaliyojengwa na engineers wa kikenya na bado mnataka kushindana, idadi ya engineers tumewaacha mbali na bado mnataka kushindana, kubali tu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2034335
Sent using Jamii Forums mobile app
2014 vs 2021.Facts vs twitter propangandaView attachment 2034344
Acha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia πππ Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s πππ Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list πππ .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?Facts vs twitter propangandaView attachment 2034344
Mwambie apite hapa [emoji116][emoji116]Acha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia [emoji23][emoji23][emoji23] Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s [emoji23][emoji23][emoji23] Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list [emoji23][emoji23][emoji23] .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?
Nenda ukateteshe world economic forum, hio ni data yao si yanguAcha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia [emoji23][emoji23][emoji23] Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s [emoji23][emoji23][emoji23] Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list [emoji23][emoji23][emoji23] .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?
Hiyo uliyoweka ni data mfu, miaka mingi ishapita since 2014, mm nakupa ya 2021[emoji116][emoji116]Nenda ukateteshe world economic forum, hio ni data yao si yangu
EMU huwa siyo ndefu kutokana na limitations za physics of motion.A average train is longer than pugu station from end to end, considering each wagon has a door it means some will alight/aboard wakiwa outside the premises
Na ulivyo na uwezo mdogo wa ku reason, nawewe unakubaliana nayo na unaipost humu sio.?Nenda ukateteshe world economic forum, hio ni data yao si yangu
Kwanza anajua EMU ni nn?EMU huwa siyo ndefu kutokana na limitations za physics of motion.
EMU ikiwa katikati ya kona au muinuko inabidi yote iwe kwenye curvature ya reli, la sivyo haita kuwa na stability, kutokana na speed yake kubwa.
Hili tatizo huwa halipo kwenye hizi treni za polepole.
Heeeheee.....hivi Cape Town iko Tanzania?π€£π€£Kuna chizi moja la kikenya eti kwasababu ya vi apartments vyao kadhaa na expressway likiskika likitaja kwamba NAIROBI ni zaidi ya jb SA .. haya hii ni Capetown. Mkenya mwenzenu alienda kushangaa mji wa Africa wenye viwango vya first world countries π.
Feb show off sana,sidhani kama kalemani au prof muhongo kwenye hali kama hii tunayopitia tungewaona mitandaoni wakipost wapo angani na helikopta,kuongea na balozi wa US au kwenda uarabuni,jamaa ovyo sana yuleNi mbabaishaji yule ni kama Februari tuu.
Halafu kingine, coaches allocation system inaweza tumika kama ilivyo kwa treni za sasa za ordinary na deluxe. Kila station ina mabehewa yake, watu wa Kigoma wanajua kabisa mfano ktk ordinary train wanapanda behewa J, H na F na ikiwa deluxe ni mabehe ya DT 1, DT 2 na DT 3 na siyo kujipandia pandia tuu. Kwa hiyo kwa case ya station kama Pugu inaweza tumika pia coaches allocation system ambapo watu wa Pugu stn wakawa na mabehewa yao ambapo train ikifika pale yanakua sambamba na platform ya Pugu stn halafu watu wanapanda na kushuka bila kujali urefu wa treni.EMU huwa siyo ndefu kutokana na limitations za physics of motion.
EMU ikiwa katikati ya kona au muinuko inabidi yote iwe kwenye curvature ya reli, la sivyo haita kuwa na stability, kutokana na speed yake kubwa.
Hili tatizo huwa halipo kwenye hizi treni za polepole.
I lived in both cities (Kasoro Dodoma), to me Dodoma will be far Ahead of Nairobi na Dar es Salaam (May be kama tutaamua ishindane na Dodoma) in Next 25 years, tunachohitaji ni political will.Na ndio mana nikasema kwamba 2023 tukimaliza mradi huo, naiona DOM like this π. Naongea na wewe bwana NairobiWalker .. vipi uko na la kujitetea.?
Who designed TPA tower?Acha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia πππ Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s πππ Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list πππ .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?
Kunyans are in awe how possible decades used roads could ever be that cleanDar courtesy of nipashe
View attachment 2033968
π π π π Mkunya mmoja kataamaki kweli alivyoona Tanzania inapitisha umeme chini ya maji nikajua kumbe hapa hawapo kimakosa π€£π€£π€£πππΉπΏπΉπΏ
Whats so special about that?, kwani unadhani kenya hazipo?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkunya mmoja kataamaki kweli alivyoona Tanzania inapitisha umeme chini ya maji nikajua kumbe hapa hawapo kimakosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2034623