Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Facilities?? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hebu tupe picha za ndani ya hicho kibanda cha choo tuone hizo facilities.

And then did you say that this is just one of the smaller stations meaning there are bigger ones? Please share with us those bigger stations tucheke kidogo
 
Sasa kama Masaki kwenyewe which is Dar's best neighborhood ndio kuna barabara za vumbi sasa uswahilini kwa walala hoi ndio lami ipatikane? [emoji23]
View attachment 2033400
Nyie hovyo sana ukisikia masaki unafikiri ni ile affluent suburb ya Dar hiyo ni masaki ya kisarawe same na Washington /Washington dc
 
Nyie hovyo sana ukisikia masaki unafikiri ni ile affluent suburb ya Dar hiyo ni masaki ya kisarawe same na Washington /Washington dc
Kwa hivyo Dar kuna Masaki mbili? πŸ˜‚
 
Bigger stations ni Dar na Moro(Dodoma baadae) hakuna sababu ya kuwa na stations kubwa kwenye small towns like Pugu,Soga,Ngerengere!
 
Yes kuna Masaki ya Kisarawe, na hii ya huku karibu na Oysterbay. Hio picha ulioweka ni Masaki ya huko Oysterbay ni kweli kuna few streets hazina lami. This is Africa.
I still don't get how the same neighborhood can have different physical locations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…