Hii Nairobi expressway ikikamilika will change the face of Nairobi forever even to a point naona tukiichapa Johannesburg na cape town πππUmeongea kwa maumivu kweli mzee baba, nenda ukanyonge huyu mwenzenu hapa, sio mzalendo huyuππππππ
View attachment 2031870
View attachment 2031869
View attachment 2031867
View attachment 2031868
Amka upesi utakunya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Nairobi expressway ikikamilika will change the face of Nairobi forever even to a point naona tukiichapa Johannesburg na cape town [emoji7][emoji7][emoji7]
Kitui interchange kwa Wakikuyu na Wakalenjin 90% complete. π π πKenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.
Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi news... EDITED.Outer ring road, the dirty road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2032219View attachment 2032220
Sent using Jamii Forums mobile app
Btw according to your opinion,, between Kisumu city and Nakuru city, which one is best??Kisumu is better than your Capital City "Maembe Dodoma" [emoji23]View attachment 2031882View attachment 2031883
Cheap interchanges, haya ma interchange cjui mnayapendea nn, huenda ni kwasababu ni cheap btw hongereni kwa kuwajali wanyama mnawawekea mpk interchange.
Hili jiji nalifananisha na Washington DC sana litakapokamilikadodoma
Universal health care sio service ni scheme nikusahihishe hapo kwanzaYani jamaa anaenda Google kutafuta picha za UHC[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu kwao ndo amesoma sana huyu. UHC ni service
Kumbe hadi baba levo huwa wanamfuatilia hawa jamaa duh. Mambo yote ya udaku bongo yatakuwa hayawapiti kama vile mambo ya USA entertainment industry yalivyokuwa hayapiti watu kirahisirahisi.www.tuko.co.ke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] yani baba levo ndio leo amekua official source ya www.tuko.co.ke
It is called a trumpet interchange. Hata USA iko. Bongo pekee ndio haina kama hii.ππCheap interchanges, haya ma interchange cjui mnayapendea nn, huenda ni kwasababu ni cheap btw hongereni kwa kuwajali wanyama mnawawekea mpk interchange.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda niongezee hao ni utopolo kabisa kama .....[emoji28]Nakwambia hivi tofauti ya nyinyi na sisi ni kujitangaza tu otherwise hakuna kitu mnatushinda. At least kwenye battle ya DSM na NAIROBI mnaweza kututoa jasho ila kwa cities outside NAIROBI and Dar es Salaam aah hapo hamtuwezi.. tena kwenye suala la individual development level hapa ndio nyinyi ni makolo kabisa.. nakuhakikishia HAMTUWEZI...
Dah interchange ya kichovu sana only in Africa and especially Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui kwanini hawa jamaa hawawezi kuwa tidy kwenye ujenzi waoOuter ring road, the dirty road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2032219View attachment 2032220
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah interchange ya kichovu sana only in Africa and especially Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watu wapuuzi sana wanachomaanisha ni ile Bima ya NHIF iliyoboreshwaWhat is universal healthcare, hata ujue kile unachosema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]