Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

angalau sasa mnaaza kukubari kuwa nyinyi ni masikini tu kama vinchi vingine vya afrika.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]



hivyo ndivyo umetafsiri. ..Lol. but nchi kadhaa za Africa look up to Kenya bado....we are among the few black African countries wenye wamepiga hatua sana.......pinga with facts.
 
wale mnaoelewa kijerumani au ki-dutch,tusaidieni kutafasiri.

huyu mzungu hapa alikuwa anaeleza nini kuhusu kibera.
BTW,hii pic ni latest sio ya mwaka 2000.lol
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
9e4a1e7c8f0b0ede430301214da8a104.jpg
 
Umekula maana njaa kila mwaka haimuchi mkenya salama , na kama umekula utakuwa umekula ugali unga kutoka Tanzania na gas iliyopikia imetoka Tanzania

Ainu kubwa sana ,mmeuziwa mbuzi kwenye gunia treni ya enzi za mkoloni

Na Leo pia nitatuma picha angavu kama za Jana ambazo nimepiga mwenyewe kuonyesha uhalisia wa jiji la Nairobi stay tune



spensa_e


mention the brand of gas nyinyi huleta na mkokoteni. . ..otherwise....kelele tupu
 
mzungu aliyeweka hii pic kwa Instagram hana adabu.ataitaje kibera ni the biggest urban slum of africa?.
6df80fab0bd0fe72ac87f90464f8f9dc.jpg
 
i find facebook and twitter very reliable b'se issues which are shered by common kenyans are very real and 100% true.no cooked information like in other sources.
People in Facebook post anything to get likes its sad you depend on Facebook for reliable info

sent from iPhone 7
 
mzungu aliyeweka hii pic kwa Instagram hana adabu.ataitaje kibera ni the biggest urban slum of africa?.
6df80fab0bd0fe72ac87f90464f8f9dc.jpg


wewe pia ni mzungu...Lol. Ni hawa hawa waliowaita fishing village. ....sikuona ukiwapigia makofi
 
no way.......huko turkana ndani ya vichakani ndio makaazi hamna kwa hivyo nikitumwa huko kazi nalala mtini. ....hahaha
safi[emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Next year Qatar Airways will fly from Doha to Mombasa

Agreement reached between the airport authorities in Mombasa and Qatar Airways. Good news for those who plan to come to the coast of Kenya flying with airlines, booking places also confident months before and finding the right offer.
886_m.jpg


Even the low cost line FLY DUBAI is thinking about Kenyan coast

Unaongelea FLY dubai is thinking wakati fly dubai is flying to Dar and Znz and October 29 itaanza Kilimanjaro route

Qatar airways has Doha to KIA everyday and Zanzibar to
 
Unaongelea FLY dubai is thinking wakati fly dubai is flying to Dar and Znz and October 29 itaanza Kilimanjaro route

Qatar airways has Doha to KIA everyday and Zanzibar to
Anaongelea fly Dubai wakati KQ nimatatizo. Hii ni latest news ya KQ leo
Screenshot_2017-07-29-15-13-43.png
Screenshot_2017-07-29-15-40-18.png
Screenshot_2017-07-29-15-14-20.png
 
Today i will share, middle income housing in Nairobi, hope mko poa humu JF
hureeeee!..kwa mara ya kwanza leo tutawekewa picha za nyumba binafsi zinazomiliwa na wakenya wa kawaida wanaoishi nairobi.can't wait.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom