Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesikia habari ya kwamba Tanzania ni nchi ya pili afrika baada ya south Africa kuzalisha mafuta ya alizeth

In that case Kenya tutakuwa kwa sasa tuna wa spoon feed , kuanzia Vitunguu - ambavyo mnachukua manyara na magola Tanzania
Karoti na viazi mviringo - ambazo mnachukua kutoka west Kilimanjaro Tanzania
Mchele - ambao mnachukua magugu manyara Tanzania
Nyama ya Ng'ombe - mnachukua kanda ya ziwa Tanzania mkipitisha border ta sirari
Maindi kwa sasa hatuwaletie tunawaletea unga
Mafuta ya alizeti tutaweka utaratibu sasa wa kuwaletea maana mlizoea mnaenda babati manyara Tanzania mnabeba adi mashudu ya kulisha kuku zenu za broiler

Mwisho kabisa Nishati ya kupika ivyo vyote mnatoa Tanzania ambayo ni gas bora kabisa na bei ya chini

Muwe makini tusije tuka wa colonies




spensa_e




for decades mmetumia vitu za Kenya na hatukuwahi piga kelele. ..shida yako ni baseless and unfounded claims. . .....Kenya doesnt need your food. ..... si mmeblock ngano na maziwa from Kenya
 
Mpaka tuhakikishe wanalipa pesa zetu
Screenshot_20170729-183852.jpg
 
ours is up and running. contributing to our economy. wacha Ethiopia na Morocco waongee.
nyinyi ongeeni na malawi
Hahhahaha wachina wamenifurahisha sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hela wamepiga alaf wamewapa vimeo😛😛
 
Mombasa's viability is about to change radically to transform that anarchist and continuous chaos into regulated traffic that can guarantee both commercial and tourist transport.
Kenya's largest port is also the number one jumper for trucks and containers that go not only to Nairobi, but also to Uganda and Tanzania via Taveta, and Malindi and Lamu.
But Mombasa remains the destination for all foreign tourists interested in visiting the Swahili coast, from Diani to Malindi.
The third road contract was defined yesterday and it will also be for a Chinese company, this is about 12 kilometers from the Nairobi highway to the Jomvu suburb. Twelve miles of six-lane highway, three outbound and just as in-flight, to dispose of all the traffic of Kenya's second city.
Meanwhile, the other two projects are coming to an end, according to the Ministry of Transport: the ring road linking Moi International Airport to the road leading to the Tanzania border, crossing the Likoni Canal (and the obligation Of having to take the ferry) is a matter of a few months.
At first it was about the inauguration on August 23, but the election campaign slowed down the work. Above all, there will be a section of internal bridges that takes time and expertise.
The faster the speech for Dongo Kundu city bypass. Already 10 kilometers completed, you just have to unite it when you leave the airport, and for tourists who come from Europe to get out of the chaotic city will become easier and less traumatic.

912_m.jpg
Asante kwa renders😀😀😀
 
wanjala,
picha za nyumba binafsi za wakenya wa nairobi ziko wapi?.mbona huleti picha kama ulivyohaidi?.

au picha za nyumba zilizofanana kwenye estate area ndio nyumba binafsi za wakenya wa nairobi?!SMH...
pls try to be serious.
 
wanjala,
picha za nyumba binafsi za wakenya wa nairobi ziko wapi?.mbona huleti picha kama ulivyohaidi?.

au picha za nyumba zilizofanana kwenye estate area ndio nyumba binafsi za wakenya wa nairobi?!SMH...
pls try to be serious.


you are shaking your thick head because you guys got no estate to post ....leta aeriel view ya hizo personal houses tukucheke hapa .......ikifika kwa real estate na infrastructure mnakodoa kodo hahaha
 
Hata umenisaidia! Nilikuwa nashindwa kuelewa huyu jamaa anaongelea nini! Ama sijaelewa Nyumba binafsi za Wakenya si ni private homes for Kenyans? ama? And what am posting are private homes but he still wants private houses! Am confused ama huko Dar muundo ni upi??
 
you are shaking your thick head because you guys got no estate.
punguza hasira dogo.

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
f012f5f1ce96a56aef84788675a2cf38.jpg
d11d8bd0b0fcbc7880f02cebcb284230.jpg
a03602ee8caddeb5bb177404ce93d088.jpg
36005ada62d0ba182f27d08e2712da77.jpg
7d0b81cdcf3d6e3298c6bc74d61618f0.jpg
675a7ed6e7881967d9e332766bb02a60.jpg
b729dcf71cd86833ed09000c15d68c8d.jpg
15eebab6ca97eeb138e2e7b621a5be5d.jpg
2a452241c6f580b29257afa905f87942.jpg
3f6083a5d717838c17ad2122b3d84bee.jpg
4939af976f0ce3f3c1d46407d77c029d.jpg
384816c3c521902c226ae6da88bf2596.jpg
06cb9b64383e00591bfcb2ebae89f2f1.jpg
de70cebd80dff310d410f4aef7810798.jpg
e45bd6d544865714d9634e5c0da5c65a.jpg
77538f4279eeae92c8e962057369b930.jpg
42eb4bfd4d303fa9478b3e7697f4f1b0.jpg
 
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
21929c100bdf69950b87de17b5063910.jpg
328546a563da46dd81e600a479bfc2da.jpg
a4ac81b8433c5d34331ff037879e9483.jpg
59ae4e0cb1a45884ec4778c823f9507c.jpg
bec416e0379597c31bcd5108979e8b48.jpg
468e107a72c98e954bdcfda9b1b6decb.jpg
5dc9492185f4e6f880afa3148745d9d8.jpg
529e1c4c549f811bb59ef56c1cdefeec.jpg
557efa5fedf67c53c6aa344c4375c5ca.jpg
8944a9c6e6c9487d37b8312b04960cd2.jpg
61b30d08cfa291550f3e4386940bf96c.jpg
 
punguza hasira dogo.

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
f012f5f1ce96a56aef84788675a2cf38.jpg
d11d8bd0b0fcbc7880f02cebcb284230.jpg
a03602ee8caddeb5bb177404ce93d088.jpg
36005ada62d0ba182f27d08e2712da77.jpg
7d0b81cdcf3d6e3298c6bc74d61618f0.jpg
675a7ed6e7881967d9e332766bb02a60.jpg
b729dcf71cd86833ed09000c15d68c8d.jpg
15eebab6ca97eeb138e2e7b621a5be5d.jpg
2a452241c6f580b29257afa905f87942.jpg
3f6083a5d717838c17ad2122b3d84bee.jpg
4939af976f0ce3f3c1d46407d77c029d.jpg
384816c3c521902c226ae6da88bf2596.jpg
06cb9b64383e00591bfcb2ebae89f2f1.jpg
de70cebd80dff310d410f4aef7810798.jpg
e45bd6d544865714d9634e5c0da5c65a.jpg
77538f4279eeae92c8e962057369b930.jpg
42eb4bfd4d303fa9478b3e7697f4f1b0.jpg

Acha tu! Haina acha kujiaibisha!!
 
Back
Top Bottom