Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Roads km KE ni 9k only .. nyie kwenye masuala ya barabara ni wadogo zetuHuwa mnahangaika sana. Sijui mara Kenya only has 9k, mara iko 11k na wengine wansema ni 16k. So tuamini gani na tuache gani?
Yeah, Kenya only has 9k km of paved roads. (Say "YES" to please a fool.)Roads km KE ni 9k only .. nyie kwenye masuala ya barabara ni wadogo zetu
Mnapenda hili neno uthibitisho sana wakati nyinyi wenye hamthibitishi chochote. Anyway,: -Kwanza nataka ulete usthibisho wa claims zako kuhusu hiyo miradi sio mdomo tu, pili kama ni mipango ya dualing na sisi tz tunafanya pia and any time soon tegemea kuona implementation za hizo miradi.. Dom-Moro, Dom-Singida, DSM-Pwani DSM-Moro ..
Nataka battle ya miradi ya maji.. kuhusu suala la maji kukosekana/kuwa na mgao Dar kwasasa haitokani na kukosekana kwa maji ni siasa tu za kiafrika, kwasababu tuliishi miaka yote mitano aliyoongoza mzalendo wa kweli (mwendazake) na hakukua na changamoto hiyo.. kwahiyo shortage of water DSM ni siasa tu .. wala suala hilo lisikupe moyo eti labda tz hatuko na better suply of clean water.. kwenye maji tuko powa sana
😂😂😂 Sasa kati ya mimi na wewe nani ni fool.? Jitetee sasa usinililie mimiYeah, Kenya only has 9k km of paved roads. (Say "YES" to please a fool.)
Leta hapaUkitaka miradi nitakupea na bado kuna ile iliyoko in place already.
Mbona unajishuku? Hakuna mwenye amekuita fool.😂😂😂 Sasa kati ya mimi na wewe nani ni fool.? Jitetee sasa usinililie mimi
Lazima nikuombe uthibitisho bro, bado ndio mnaanza kufanya dualing, mradi wenyewe ni mmoja na ni U/C .. subir sisi kakazenu tuwaonyeshe vile inafaa kufanywa .. by the way ni mradi mzuriMnapenda hili neno uthibitisho sana wakati nyinyi wenye hamthibitishi chochote. Anyway,: -
Dualing of Nairobi Isiolo Highway (The Highway is already 60km dualed up to Kenol. They are continuing from there: -
View attachment 2028528
Nairobi - Malaba dualing. Phase 1 ongoing
View attachment 2028525
View attachment 2028523
Kwahyo uko hapa kutukana watu na kukataa.?Mbona unajishuku? Hakuna mwenye amekuita fool.
Nimekuonyesha miradi niliyotaja - sijaongeza sijapunguza. ni miradi miwili, sio mmoja. Nini kingine unataka? Hivi Bongo kuna highway iliyo dualed continously inayounganisha miji miwili iliyo zaidi ya 200km apart? Kama hamna sasa nani afunze mwengine?Lazima nikuombe uthibitisho bro, bado ndio mnaanza kufanya dualing, mradi wenyewe ni mmoja na ni U/C .. subir sisi kakazenu tuwaonyeshe vile inafaa kufanywa .. by the way ni mradi mzuri
Umetukanwa aje?Kwahyo uko hapa kutukana watu na kukataa.?
Ukitaka habari za watu Wana wapiga wazazi wao mshua akizingua anakula makonde ni Kenya Tu😟😟😟aliewaroga hawa watu sijui ni nani duhhh
Kenya ndo mnaongoza kwa habari za ajabu 🙂Unashabikianga ushetanu sana, au unadhani hizi ushetani haziko tz?
Tukae tukiwapuuza jamani mda meingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa majamaa vitu vingine wameanza kuviona juzi wanaona maajabu. Kama Ile ishu ya skyscrapers.
lete yako.Leta hapa
Uswazi hauna nafasi hapo
Yani hata kujenga shule mnakopa wana-tumejenga na hera zetu wenyewe. 🤣
[emoji23][emoji23]ata kidogoUzwazi hauna nafasi hapo
Yani hata kujenga shule mnakopa wana-tumejenga na hera zetu wenyewe. [emoji1787]