Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ni mwehu kabisa huyo, ndiye anaongoza list ya Wakenya wendawazimu, wanapishana kwa tofauti ya 0.01 na Teargas. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
 
Huyo ni mwehu kabisa huyo, ndiye anaongoza list ya Wakenya wendawazimu, wanapishana kwa tofauti ya 0.01 na Teargas. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Orodha iko wapi mzee wa leading[emoji1787][emoji1787]
Hapa hutoki mzee, ama tupia kibera badi ndio ujiliwaze..

Nasubiria hyo orodha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…