Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku hizi huwa siwalaumu Sana. Mineralize shida yenu ni kiingereza. Read your screenshot well, keenly. Employ the dictionary where necessary and do some learning on grammar. You'll understand.
Mama Ngina ndio alikuambia ukijua kingereza unamaliza njaa na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima?
 
Uongo ninaosema mimi ni upi? Labda tuanze hapa. Kenya nimeshafika Nairobi na Mombasa. Mombasa nilienda wakati wa nyuma kidogo lakini Nairobi, quite recently. Siwezi sema kuwa mimi ni mwenyeji wa Kenya kama usemavyo wewe; ati umetembea mombasa “kindaki ndaki.” Utembeaji wako unatusaidia nini? Wewe tunafahamu vizuri kuwa Uko biased. Yaani huwezi kusimama kwenye uhalisia. Kitu unachokipa support hata kama hakistahili sifa wewe bado utakipa sifa na huu ni ujinga.

Lengo langu mimi Sio kulinganisha Mwanza na Mombasa, bali ni kuifunua Mwanza ambayo watu kama wewe mnaificha. Uchafu uliopo uonekane wazi wazi ili usafishwe.
 
It is possible, serikali ikiamua kufanya basi itafanyika.
 
Kwanini msitumia maji ya ziwa Victoria Kama sisi tulivyofanya?, Kumbuka Tanzania ni kubwa Sana kuliko Kenya, lakini tumeweza kusambaza maji toka Ziwa Victoria sawa na Umbali unaofika Mombasa na Turkana iweje ninyi mnashindwa?, au kwanini msitumie maji toka Ziwa Turkana?. Tatizo ni uwezo wa viongozi wenu ni mdogo Sana, Kenya itaendelea kudidimia zaidi.
 
post then unasubiri nn 2.7m kila nyumba ina watu takariban 10 zingine mpaka 15 then calculate tuone

akili haikai kwenye makende mzee[emoji23][emoji23]
Unajua maana ya customers mzee[emoji1787][emoji1787]
Hata waziri wenu analijua hilo licha ya weye kunengua hapa..

Yani u calculate watu wanaoishi nyumbani, maskini mnenguaji[emoji1787][emoji1787]
 
Viongozi wanafikiria pesa tu, wakisambaza maji kutoka ziwa Victoria au Turkana miradi yao ya maji c itakwama!
 
Siku hizi huwa siwalaumu Sana. Mineralize shida yenu ni kiingereza. Read your screenshot well, keenly. Employ the dictionary where necessary and do some learning on grammar. You'll understand.
Hyo jamaa grammar ndio inamtoa kabisa, yani anatia aibu sna
 
Mama Ngina ndio alikuambia ukijua kingereza unamaliza njaa na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima?
Kaingia kwenye masuala yake mhimu, walker kasema huna unalojua zaidi ya slum battles..masuala mhimu kwako mwiko[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…