Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hasira za revenue hzi[emoji1787][emoji1787]
 
kwan loss maana yake nini???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ww unaona hawa wajinga ???
Hehehe!!mbona unateseka mzee[emoji1787][emoji1787]
Ya 2020 hyo 3rd quater
Revenue generated from the standard gauge railway (SGR) rose 25 percent in the seven months to July, driven by increased imports. Latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that revenues rose to Sh9. 08 billion from Sh7. 2 billion in similar period last year.21 Sept 2021


Pole sana[emoji1787][emoji1787]
 
Uko sure hapa mnawezana na wakenya, fungua thread uone
 
Hii ni miradi ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege inayotekelezwa maeneo mbalimbali nchini Tz,miradi hii asilimia 99% ni ile iliosainiwa chini ya uongozi wa mh JPM katika awamu yake ya tano...numbers dont lie mazee...
Unaweza hesabu kms na kiasi kikubwa cha fedha kinachotumika hapo...pia status ya miradi mingi inakaribia kukamilika...
Chanzo cha taarifa hii ni website ya tanroad
 
Duh simchezo aisee.
 
dah asante sana Azam. Napenda sana Azam anavyojitolea kuiibua mashindano mbalimbali. Bila Azam mashindano mengi tungekuwa bado tunalala

Azam huyuhuyu kaibua Boxing, Cars Racing, Football (kaipandisha sana thaman) etc
 
Hapo roughly nimepata km 2,296.75 na kuna zingine kibao length haijawekwa ila ziko u/c, pia kuna zingine hazijawekwa kabisa, kwakweli huyu mzee kazi kaifanya.
 
Lake Turkana ina maji ya chumvi. Maji hii haiwezi kutumika katika upishi au kunywa maji kwa binadamu wala mifugo. Eneo nzima ya Northern na North East Kenya haina ziwa hata moja yenye fresh water. Hakuna hata moja.

Cc ichoboy01
joto la jiwe
Then it is high time for Kenyan Government to start ramping up efforts for construction of desalination plants if that is a feasible alternative to perennial catastrophes.
 
Ni vigumu Kwa mwenyeji wa Mwanza kama wewe kusikia watu wengine wakitaja kuwa mji wako hauko vizuri kwenye nyanja kadha wa kadha. Weka bias yako pembeni na tazama uozo uliopo Mwanza. And it’s not about petty competitions because Mwanza still loses to Mombasa in many fields. It’s about doing what’s right: criticizing the authorities responsible for urban planning in Tanzania. Kama unaona kuwa Mwanza imepangwa then inabidi utoke nje uone miji mingine. Mnakaa kwenye bubble yenu mkiamini kuwa you’re the best kumbe Hamna lolote!
 
Wala hujakosea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… angalia hii video ucheke kidogo

99% ya Malawians hawajawahi kusikia neno Kenya maisha yao yote wala ipo upande upi wa kuzimu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Meanwhile 70% ya Malawians wanataka kuja kuishi Tanzania πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…