Tuletee mtaa wa kuulinganisha na ngara hko kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mombasa beibeeUnataka kusema nini ss, kwamba Mombasa ipo juu ya Nairobi au? Mana ushuzi wa Mombasa kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement, na ushuzi wa Nairobi kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement plus slums, so kwa kigezo hicho kama unamaanisha bora Mombasa sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaanza kuokoteza picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2026752View attachment 2026755
Mombasa has huge CBD Men😍😍Mombasa beibeeView attachment 2026986
Hapo juu eti umeandikaje, kingereza cha buza hicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]60% of Nairobi population are Slum dwellers facts hazipingwi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2026766
Heheheh!!hapo mi wapi, unafikiria mombasa ni kariakoo kulikojaa maghorofa ya udongo miaka nenda miaka rudiMaghorofa ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2026768
Hata wanenguaji wenzio wanakushangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]no filter no lisptick [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2026987View attachment 2026988
Kuna mwingine hko anaumia kinyamaMombasa has huge CBD Men[emoji7][emoji7]
wanashangaa kuona ulivokua mwehu 😂😂 unakataa kitu halisi kabisaHata wanenguaji wenzio wanakushangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani wana mili mikubwa mikubwa kama Big Show hivi. 🤣 🤣 🤣Hapo juu eti umeandikaje, kingereza cha buza hicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Size of slum dwellers" ndio nini mzee
Maskini mnenguaji, ugua pole..wanashangaa kuona ulivokua mwehu [emoji23][emoji23] unakataa kitu halisi kabisa
Jamaa wanatia huruma ajabuYani wana mili mikubwa mikubwa kama Big Show hivi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Inatakiwa kwenye utalii tugonge japo $5bn per annum ndio nitaona tumeanza kuwa serious. Alafu hivi vitu huwa vinawauma sn hawa jamaa.Tanzania itaendelea kuongoza kwenye utalii, 31 international tourism companies at a go