hata sisi tumewchana nayo πππkuji console nayo!.. mombasa wachana nayo kabisa.. sio ligi yenu
not slum πππ
Mikunya inaenda kufundishwa biashara ni nini. [emoji23][emoji23][emoji23]
Watakoma mana Watz wamevamia Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mikunya inaenda kufundishwa biashara ni nini. [emoji23][emoji23][emoji23]
Si wanataka fair competition [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema wanafunzi wa Tanzania wanategemea vyuo vyenu kupata elimu bora, kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema mna wanafunzi wengi abroad kuliko Tanzania
Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na wanafunzi wengi kwenye international universities worldwide
Therefore ni marufuku Kenya kujilinganisha na Tanzania kiuchumi and social standards of life
Naona leo umeamka na vitasa.
Sasa milima unaondoaje? ππππKaka naungana na Ichoboy kwamba ukiondoa milimani, kwa asilimia kubwa sehemu tambarare zimejengwa vizuri tu mbona.