Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kusema nini ss, kwamba Mombasa ipo juu ya Nairobi au? Mana ushuzi wa Mombasa kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement, na ushuzi wa Nairobi kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement plus slums, so kwa kigezo hicho kama unamaanisha bora Mombasa sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mombasa ikisongeshwa kidogo tu iingie jamhuri ya muungano ๐Ÿ˜‚ inakua mji mkuu
 
Huwa hamupendi kuona watanzania wenzenu kama huyu wakisema ukweli
ishu siyo kusema ukweli,ishu ni namna gani unauheshimu huo ukweli,

watz wa humu huwa hatuutaki unafki ndiyo maana mara nyingi huwa tunapishana wenyewe kwa wenyewe tofauti na nyie wakenya siku zote huwa mnaogopana na kuogopa kuchambua shida zenu kwa reality,

ndiyo maana mpo hapa kama mazombi hamkosoani wala kupeana ukweli zaidi huwa mnaishia kujazana kichwa
 
Ukiwaambia wana ghorofa za udongo wanaruka kama wamasai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ghorofa za udongo Mombasa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚


 
Omba omba wapo dunia nzima mpk US ila Kenya ndiyo the leading country cz yenyewe kama Nation ni ombaomba, unabisha nikupe fac?
Nchi inaexport ombaomba ni Tanganyika. That should tell you how many they are there
 
Ukiangalia vizuri utapata kwamba chanzo cha nyinyi kugongana wenyewe kwa wenyewe ni kwa sababu hampendi kuona mtu akisema ukweli kuhusu nchi yenu, awe ni mtanzania mwenzenu au mkenya.

Hili sio tatizo sana kwetu kwa sababu mambo yetu huwa tunayaweka wazi wala hakuna cha kuficha kitu. Mtanzania ni mtu atakulazimisha mawazo yake yawe ya ukweli hata kama Hakuna chembe cha ukweli kwa analosema ilimradi tu aonekane amekushinda kwa hoja.

Ukijaribu kumkosoa hapo ndio mnakosana. Sisi wakenya hatuna hii tabia na si eti najisifu. Mapungufu yeti tunayakubali, something that most Tanzania don't do in this forum
 
Huu Ndio mji unasema kuwa umepangiliwa? Na hii Ndio CBD ๐Ÿ˜‚

We need more psychiatrists.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ