Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ulitaka mradi mkubwa vile uishe kwa wiki moja? Wacha upumbavu wewe mkunya.
Ukianza matusi nakuignore. Mimi sio Geza Ulole kwamba nitavumilia matusi zako. Nilikuwa naongea na ichoboy01 sasa wewe sijui umetokea wapi na matusi zako ilhali sikuwa naongea na wewe. Ukiendelea hivyo utakula block. Sipendi ujinga mimi. Sina muda na ujinga wako. That is your final warning.
 
Mwambie Tony254 aweke yale aliyosema hatuyajui Kwanza halafu na watanzania ndio waache uzalendo. Maana kasema Nairobi kuna mambo yakiwekwa hapa itakua hatari
Ungemwambia yenye mwenyewe maana mimi sina uwezo wa kujua alichotaka kusema
 
Kumbe tumeshakuwa donor country mapema sana?! Nilikuwa sijui aise.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ video ya 20min jamani haioneshi chochote nimecheka mpaka basi






na hii ni downtown sasa uliokua unaisemea wwπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ 12min



alaf ww ndio unaijua mwanza kuliko mm nilipozaliwa nimeishi nimekulia huko na kila mara niko huko serious??🀣
 
Alafu hawa wakunya mbn huwa hawaipaki lipstick Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hata ipakwe makeup mia moja nyumba za udongo zitabaki za udongo tu

ushuzi ni ushuzi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…