Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Unajiskia ulivyompumbavu, owky ndio kusema nyie kwenye masuala ya ulinzi wa nchi yenu mpo hovyo kiasi ambacho watu wanaingia kiholela, no wonder Alshabab wanawahenyesha uko kwenu 😂😂 😂
Sasa ombaomba atakuaje tishio kwa usalama? Cha pili ni mlemavu!
 
Fortunately, my hometown is near the border. I can't count the number of times I have crossed from Isibania in Kenya to Sirare on Tanzanian side without doing paperwork. People freely cross from one side to another on a daily basis, day and night.
 
Ukiitoa Egypt ni nchi gani Kati ya hizo ulizotaja zimefanikiwa kujenga mji mpya.? [emoji23][emoji23][emoji23] Kujenga mji mpya unafkiri ni matako.? Kwamba kila mtu anayo.? Unaishi wapi bro.? Ulaya eeh.?

Kujenga mji mpya ni mchakato, sio suala la kulala na kuamka. At least wenzetu are trying.



Nigeria Eko Atlantik City


Angola Social Housing Project

Ghana wana Wakanda City of The Return, Kenya wana Konza na Tatu City, japo haziendi kww haraka lakini ukifika unaona kuna kitu kinaendelea. Sisi what do we have to show? Kigamboni imetushinda hata kabla hatujaanza, Maneno tu.
 
Jaluo akiona kitu ni cha aibu lazima atafute sehemu ya kusingizia au mtu wa kumsingizia.

Natamani wote mfahamu tabia za jaluo humu especially jaluo za kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dodoma Government City
 

Na wewe unaongea tuu kwaiyo magufuli city dodoma ni nini na kuhusu kigamboni ni mradi wa mda mrefu sio miaka mitano tuu mji ushasimama kwani jitihada za serikali huzioni kama kigamboni economic zone/ industrial zone ambayo ni part ya kigamboni city na miradi mingine kama dege eco village
 
Dodoma Government City

Ni sawa, Dodoma Government City ni mpango wa Capital City Development ambao ulikuwepo toka miaka ya 70. Same as Nigeria na Abuja au Egypt na Alexandria.

Lakini unajua kwanini watu hujenga new city along the big cities? Lengo ni ku-deconjest the old cities na kutunza history old cities badala ya kila siku kubomoa na kujenga upya. Dar es Salaam inategemewa kuwa mega city in 2030, idadi ya watu itaongezeka mara dufu hivyo kuongeza mahitaji ya makazi n.k. Bila kuwa na mji mpya na wa kisasa kwa mahitaji ya wakati Dar itaelemewa na kuwa mji kituko kabisa sababu kila siku tutakuwa tunavunja na kujenga huku tukitegemea mji ujijenge wenyewe. Hii sio sawa. Miji hujengwa na kupangwa. Najua kuna watu wengi wanasoma huu uzi, wito wangu ni kuipanga Dar, serikali itoe hiyo Master Plan wanayoikalia miaka nenda rudi, vunja, lipa, panga before its too late.
 
y tanzania not kenya??🤣🤣🤣🤣
 
haya makazi yana nafuu kuliko slum ya aina yoyote kutoka kenya tena hzo nyumba ni nzuri sana na zina maji na umeme na barabara zipo

mm nimetokea mwanza bro huna cha kueleza chochote hapo na ujue mwanza ni mkoa uliozungukwa na milima mingi sana

na hzo picha unazopost ww still ni za muda mrefu sana kwann usitafute hzi 😂👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…