Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakera sana, naona mitaani bado watu wanauziana viwanja kwa kukatiana, na hili ndio tatizo lenyewe, mipango miji wapo na hawachukui hatua.
Yaan hii issue inasilitisha sana. Something needs to be done and be done quick kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ingawa wananchi wengine wanajaribu kutatua hili janga but more effort is needed
 
Inakera sana, naona mitaani bado watu wanauziana viwanja kwa kukatiana, na hili ndio tatizo lenyewe, mipango miji wapo na hawachukui hatua.
Kero sana kaka!!!Tunafanya michezo ya kwenda mbele kurudi nyuma siku Serikali ikitaka kufanya mradi wake fidia inakuwa kubwa kumbe wasingetakiwa kulipa hata kumi kama wangejipanga mapema na kufanya consideration!!!Leo hii fidia ni kubwa kweli kwny hii miradi mikubwa ya kimkakati ,miundo mbinu pamoja na maeneo kwa ajili ya kuweka social services!!!One of the big failure kwa serikali ya CCM.Kwa waliosoma uchumi watanielewa Market Failure VS Government Failure!!!Kuna mambo mengine serikali inabidi isimamie tu huwezi kuliachia soko lifanye kazi hiyo!!!
 
Yaan hii issue inasilitisha sana. Something needs to be done and be done quick kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ingawa wananchi wengine wanajaribu kutatua hili janga but more effort is needed
Govt haiko serious, Watz wamejitahidi sana kujenga nyumba decent, lkn Govt kupitia office ya mipango miji inatuangusha, haipo serious kabisa.
 
Hehehehee lile shuzi lililokuwepo pale kipawa ni Slum halisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha porojo mingi, kupata Elimu au kutopata Elimu kwa raia wa nchi kunatokana na sera nzuri za Elimu za serikali/nchi husika, hatuzungumzi familia Moja Moja.

Tanzania Nyerere alilazimisha kwamba ni lazima kila mtoto kupata Elimu ya msingi(Primary Education), ili kufanikisha hilo aliifanya Elimu ya msingi kupatikana bure na ni lazima mzazi kumuandikisha mtoto wake shuleni, kushindwa kufanya hivyo lazima mzazi atashitakiwa na kutozwa faini.

Nyerere ndiye aliyeanzisha Sheria ya kukataza mtoto aliyepata mimba kuendelea na masomo (Formal education), badala yake akaanzisha mfumo wa "adult education" ambao utamuwezesha huyo mtoto kusoma hadi chuo Kikuu huku akiwa anaendelea na jukumu lake la kulea mtoto na akipenda kuolewa.

Ni mtu mpuuzi ambaye anaweza kupinga mfumo mzuri wa Nyerere ambao umempa nafasi huyo Binti kuendelea na masomo Kama mzazi wakati huo huo kupunguza athari za kisaikolojia ambazo zingeweza kusababishwa na yeye kwa wanafunzi wenzake au kwake kutoka kwa wanafunzi wenzake endapo angeendelea kusoma shule na darasa lile lile
 
Hatuongei kuhusu Nyerere hapa. Tunaongea kuhusu Magufuli na sera zake mbovu zilizofanya world bank wakate mrija wa pesa waliokuwa wanawapa kwa ajili ya elimu. Usilete Nyerere kwenye mambo ya Magufuli.

Kama maamuzi ya Magufuli yalikuwa sawa mbona jana mama Suluhu ameyabadilisha?

 
Dangerous country wakati omba wao wamevamia mitaa zetu kama nzige [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hushangai kwanini watanzania wenye pesa zao hawavamii Kenya badala yake ombaomba ndio wanaovamia huko?, Mitaa ya Nairobi imejaa watoto wa mitaani na homeless people, huku Tanzania ni nadra Sana kukutana na watoto wamezagaa mitaani. Kenya inavutia maisha ya Ombaomba wakati Tanzania tunavutia watalii na "investors".
 
Acha kujiliwaza. Dangerous country na CCM wanafurahi atcl kuja kenya nikama wamefika marekani tuu.
Wanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.
 
Wanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.
Hayo Wacha Watanzania waliofika Kenya waongee. Wee endelea na story zako za vijiweni.🚮🚮
 
waganda wasahau kujenga SGR kwenda Kenya
Mungu ibariki Tanzania [emoji1241].. SGR from Dar to Isaka to Kigali [emoji91]

"The loan agreement requires UCAA to set up an escrow account to hold all of the Authority’s revenues. The agreement provides that UCAA cannot use any of the accrued money for whatever expenditure without approval from Beijing."
 
Wakenya ni watu wapuuzi Sana, mlikua mkimchukia Magufuli kwasababu alikua anawazidi na kuwabana katika kila Jambo.

Magufuli siye aliyeweka hiyo Sheria, hiyo ni Sheria ya Nyerere na hakuna rais hata mmoja aliyeitengua, Hawa wanaharakati walipoanzisha vuguvugu la kudai hiyo Sheria irekebishwe ili waruhusiwe, Magufuli alikataa na kusisitiza kamwe hawatoruhususiwa badala yake wataendelea kusoma katika mfumo huo aliouanzisha Nyerere.

Kama Samia Suluhu Hassan ameruhusu kweli(sijawa na uhakika), basi itakua ni sehemu ya madhahifu yake ya kiuongozi na ninauhakika Mambo Kama haya yatagharimu Sana uongozi wake, sio rahisi "kumchallenge" Julius Nyerere politically" na ukabaki salama katika siasa za Tanzania.
 
Wanafurahia kifo cha KQ kimekaribia. Tuseme ukweli, hivi wewe ukivuka border ya Kenya kuingia Somalia unahisi vipi kuhusu usalama wako?, Basi ndio hivyo hivyo kwa mtanzania anavyohisi akifika Kenya.
Mnafurahia ndege zenu kuja Somalia? Yani tanzania ndoo the only country inaexport beggars[emoji23] Wewe mjinga kweli. Lakini sishangai sababu role model wako ni magufuli.
 
Mnafurahia ndege zenu kuja Somalia? Yani tanzania ndoo the only country inaexport beggars[emoji23] Wewe mjinga kweli. Lakini sishangai sababu role model wako ni magufuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We unaijua tanga.? kumbe mtu mwenyewe miji unaiona google tu 😂😂😂😂, safiri fala wewe, kwahiyo kwaakili zako hapo hakuna lami au .? Miji yote ya Africa Iko na makazi ya hovyo na makazi mazuri, ila Tanga hata hayo makazi ya hovyo yana mpangilio .. by the way hakuna jiji hapa tz sijawahi kufika ..hiz picha nimepiga kwa mkono wangu Tanga pia kuna recreational parks tano .. hizi ni mbili nilizopiga picha mimi mwenyewe 👇forodhani Park 👇we fala au we sio mtanzania.? Usipende kutoa comment sehemu ambazo wewe mwenyewe haujawahi kufika unaishia kuziona google tu, haya kama wewe ni mtanzania sema unatokea mji gani.? Coco reborn. Vipi una lipi la kusema.? .



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…