Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo la unplanned linajulikana but some towns have tried and Tanga tops in Tz in good planning compared to all those mention
 
Hiyo ndege imebeba abiria wa kikenya waliogoma kupanda ndege mbovu na chakavu za KQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅 Chengine walichokua wanamchukia nacho Magu eti ni kwa nini airtz ina regional routes almost kote lakini Kenya wamerukwa 😂😂

Hapo ndio nilijua hawa how deep they feel us 🤣
 
hakuna fursa huko.. hio hela uliyotaja unaijua ukubwa wake?[emoji23] au ni kwa miaka 100?
Kwani Azam Bongo ameweka Dollar ngapi juzijuzi hapa? Besides hiyo hela itachangamsha soka la Kenya sana tuu.
 
SA kuna train wamezishindwa huko maana miundo mbinu yao ni ya kizamani kwenye rail hivyo private investor kachukua vichwa vyote PRASA walivyoagiza spain kavileta kwenye TAZARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…