kenya ilirogwa na nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saa zingine inabidiUbize mwingi.
Ni wakati sasa wa Tz kuanzisha shirika lake la misaada napendekeza liitwe TANAID au TICA Tanzania International cooperation agency. Hii itatusaidia sisi EA kuondokana na aibu ndogondogo kama hizo hapo juu [emoji115]Hivi hawa jamaa wamekwama wapi, yaani hata ujenzi wa 5 Kilometers mnaenda kutembea bakuli South Africa, acheni kutuletea aibu....
Acha ulimbukeni wewe dont shift goal posts.View attachment 2023599
Hii si Ndio Tanga unayozungumzia? Hii Sio urban planning ninayozungumzia mimi. Urban planning Sio mpangilio wa makazi katika grids! Makazi haya Kwa kuyaangalia tu unaona ni duni! Hapa hata sewarage system sidhani kama ipo! Barabara zenyewe vumbi Tupu!
Inabidi tuwe honest. Kuficha uchafu uliipo ni Sawa na kuufanyia promotion undelee kuwepo. Tena nafurahi wakenya wanavyotubeza ili aibu tupate.
Wewe huwa ni mpuuzi tu wala huwa ckuzingatii, kama cost za kumaliza Slums ni nyepesi mbn India, and even China wanashindwa kuzitoa, hivi unajua maana ya Slums wewe au unaongea ili mradi na ww uonekane upo kwenye uzi, unajua mazingira yaliyo kwenye Slums? Wacha upumbavu, watu kwenye slums wanakaa kibanda kimoja familia kumi je unajua cost za kuzihifadhi familia zote za kwenye slums? Au wewe unavyoambiwa slums ni mabati basi umekariri kwamba ni rahisi kuziondoa? FYI Slums co tu mabati mzee soma kwanza kabla ya kuropoka.
Azam wachangamkie udhamini hapo wamwage USD 100mdah maskin [emoji20].. pamoja na uwepo wa mdhamini kwenye TV broadcasting ya ligi bado kulikuwa na njaa kwa vilabu.. sasa huyo mdhamini kaondoka itakuwaje tena[emoji20].. si wachezaji watagoma kuingia uwanjan kwa kukosa mishahara na bonus.. kwa hali hii hata yule Title sponsor nae ataondoka.. maana TV broadcaster kasepa
anyway, ligi kuu bara ndo itakuwa EPL/Laliga ya wachezaji wa ligi ya kenya.. mana bongo hakuna njaa.. kuna maisha safi[emoji1434][emoji1241]
Ngoja nikwambie kitu dogo, kama hujui kujibu hoja bila kutukana watu mimi ntakushughulikia vizuri tu na utakaa ujutie siku umeamua kufungua account JF, huwa sina muali na watu wa aina yako. Nakuonya tu next time ukiona post yangu kama huna kitu significant cha kuandika achana nayo, usidhani uko salama sana kutukana watu ukiwa umejificha na ID fake. Usije kusema sijakuonya.
Huyo kijana wenu anakuanga hivyo. Anadhni matusi ndio hojaNgoja nikwambie kitu dogo, kama hujui kujibu hoja bila kutukana watu mimi ntakushughulikia vizuri tu na utakaa ujutie siku umeamua kufungua account JF, huwa sina muali na watu wa aina yako. Nakuonya tu next time ukiona post yangu kama huna kitu significant cha kuandika achana nayo, usidhani uko salama sana kutukana watu ukiwa umejificha na ID fake. Usije kusema sijakuonya.
Hujapinga nilichosema; Kwa hiyo unaelewa vyema kuwa niko sawa.Acha ulimbukeni wewe dont shift goal posts.
South Africa wenyewe wamechoka vibaya mno.Hivi hawa jamaa wamekwama wapi, yaani hata ujenzi wa 5 Kilometers mnaenda kutembea bakuli South Africa, acheni kutuletea aibu....
Dsm kijiji cha uvuvi au?[emoji23][emoji23] Unaijua DSM .?
Kwamba "unanijua mimi ni nani?" Hii mentality imerudi kwa kasi ya ajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nikwambie kitu dogo, kama hujui kujibu hoja bila kutukana watu mimi ntakushughulikia vizuri tu na utakaa ujutie siku umeamua kufungua account JF, huwa sina muali na watu wa aina yako. Nakuonya tu next time ukiona post yangu kama huna kitu significant cha kuandika achana nayo, usidhani uko salama sana kutukana watu ukiwa umejificha na ID fake. Usije kusema sijakuonya.
Mambo ya Watz hayakuhusu wacha umalaya.I
Huyo kijana wenu anakuanga hivyo. Anadhni matusi ndio hoja
wala hatujaanza hio project yani kwa kifupi hakuna pesa imewekezwa hapo mpaka sasa sasa nyinyi mumepoteza pesa ngap kwenye white elephant project kama hio tatu na konza bila kusahau ushuzi huu🤣🤣🤣Kabla sijakujibu kigamboni city imefika wapi🤣🤣🤣🤣👇👇View attachment 2023523
hiii sio langata slum😂😂😂😂This is Lang'ata bongolala. Does it look like the uswazi hovels of Dar? Achana na Nairobi Kijana, shugulika na uswazi za Dar, Nairobi itakukosesha usingizi bure!View attachment 2023543View attachment 2023544View attachment 2023546View attachment 2023547View attachment 2023548View attachment 2023549View attachment 2023550View attachment 2023551
kitu unaweza ww ni kupost estates zinazomilikiwa na wacahche sana wakat majority wamenrent na wengine wenginwako kwenye maisha ya nguruwe 😂😂😂😂 ikiwa kirubi alone anamiliki estates za 40b ksh ww utakua na ndoto ya kumiliki ardhi kweli ??🤣🤣🤣This is Lang'ata bongolala. Does it look like the uswazi hovels of Dar? Achana na Nairobi Kijana, shugulika na uswazi za Dar, Nairobi itakukosesha usingizi bure!View attachment 2023543View attachment 2023544View attachment 2023546View attachment 2023547View attachment 2023548View attachment 2023549View attachment 2023550View attachment 2023551
umeitaja tena tandale hujakoma tu 🤣🤣🤣 naona toka nilipokupa dawa huzungumzii tena tandaleKijana wa Tandale, uswazi ni kitu ya kuogopa? Kama mitaa yenu ya kifahari ndio vituko sasa Tandale uswazini ndio niogope? Unaota!?
naomba tuoneshe new CBD 😂😂Old Cbd 254View attachment 2023590
hio picha ni tanga ya over 15 yrs ago my friend tafuta picha sahihi ya tanga na tanga ni mji uliobadilika sanaView attachment 2023599
Hii si Ndio Tanga unayozungumzia? Hii Sio urban planning ninayozungumzia mimi. Urban planning Sio mpangilio wa makazi katika grids! Makazi haya Kwa kuyaangalia tu unaona ni duni! Hapa hata sewarage system sidhani kama ipo! Barabara zenyewe vumbi Tupu!
Inabidi tuwe honest. Kuficha uchafu uliipo ni Sawa na kuufanyia promotion undelee kuwepo. Tena nafurahi wakenya wanavyotubeza ili aibu tupate.
Google it. You obviously don't comprehend it.🚮🚮Is that a new word that you have come across today?
Huwa wanachekesha sana, wangekuwa wanasema tu CBDs Mana hivyo vijengo viwili vitatu vinavyowafanya kuita hizo slums cbd vyote viko hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naomba tuoneshe new CBD [emoji23][emoji23]
ikiwa hio hio picha upper hill iko ndani na kilimani ndani