Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Over 90% ya nyumba za wakazi wa Nairobi ni za mabati, hii ni zaidi ya unyama wanaofanyiwa Wakenya.View attachment 2022454
Tuonyeshe missing link road kwa hizo picha💩💩💩Over 99% of Nairobi City is sorrounded with Slums.View attachment 2022441
Hilo daraja kwa ujenzi huo ni normal bridge kwanza nguzo mbilimbili chini inaashiria sio cable stayed or suspended bali ni normal bridge.Ona huu fala. Is it supposed to look like an abnormal bridge?
Hutaki sasa subiria dawa iingie utakuwa sawa tuu [emoji1787]Mwambie huyo director wenu atafute watoto wadogo wa kudanganya. Sawa?
Modern bus stations and modern marketsJiji lolote duniani lisilo na miundombinu ya kisasa kama BRT system, cable stayed bridges, modern Airpots or electric sgr basi hilo jiji liko stone age.
Vipi unataka kulinganisha na hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa.Wewe Jamaa ni misogynist. Huna mama au dada? Huna mwanamke yoyote unayemthamini maishani? Ungependa kuona mwanamke anatupwa kwenye umasikini? Kinachokuogopesha ni nguvu ya wanawake.
Halafu, Kwa hiyo sina haki ya kuongelea kuhusu Wanawake wenye hii thread? Nitaongea jambo lolote ninalotaka hapa. As long as linafuata taratibu za JF.
Usifananishe turkana na ujingaVipi unataka kulinganisha na hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022498
Note that "Wakenya wa kawaida" na co nyumba za mafukara wa Kenya, cz fukara wa Kenya hawezi kumiliki hata nyumba ya bati, wengi wao ndio wale omba omba waliowapa uraia wa Tanzania.Nyumba za Wakenya wa kawaida wanaounda over 80% of Kenya population, most of the houses are made of mabati.View attachment 2022500View attachment 2022501View attachment 2022502View attachment 2022503View attachment 2022504
Turkana kuna binadamu kwani?Usifananishe turkana na ujinga
Kwani dar wako?Turkana kuna binadamu kwani?
thats Nairobi, but just a small portion, less than 15% if am so to say .. 'Slums in nairobi are well defined and well structured',. even when the National or County Govt, or Charitable Organizations, or Churches, or The Muslim Community, or Foreign Aid, or even The Sikh, comes inhand, they already know where they will exactly go...Over 99% of Nairobi City is sorrounded with Slums.View attachment 2022441
Hiyo sheria mbona ilikuwepo toka enzi za Nyerere?Ndio maana nasema jambo lako tayari limerudishwa so unaweza kurudi kwenye battle.
Kwa hiyo informal Settlement ni lazima iwe slum? Dar es Salaam yote hakuna SLUM ila kuna baadhi ya maeneo ni unplanned settlement (watu wamejenga nyumba nzuri tu bila kufuata mipango miji).thats Nairobi, but just a small portion, less than 15% if am so to say .. 'Slums in nairobi are well defined and well structured',. even when the National or County Govt, or Charitable Organizations, or Churches, or The Muslim Community, or Foreign Aid, or even The Sikh, comes inhand, they already know where they will exactly go...
whereas Slums in Dar-Is-Slum are scattered and intermixed with Mid-Class such tht even the Govt or Foreign Aiders are confused!.
infact, all settlements in Dar, compose of up to 70% Informal Settlements.. thats according to The UN report 2019, google it please.. if u don't believe me, i can help u find it
majority of nairobians are middle-class per se
ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..Kwa hiyo informal Settlement ni lazima iwe slum? Dar es Salaam yote hakuna SLUM ila kuna baadhi ya maeneo ni unplanned settlement (watu wamejenga nyumba nzuri tu bila kufuata mipango miji).
View attachment 2022551
Is this what you call slums? Hata UNHABITAT wanatumia neno unplanned settlements not Slums. POLENI NA SLUMS ZENU ZILIZOTUKUKA
Wewe ndio unaji-console. I know what am talking about. Dar es Salaam hakuna SLUM eboooo! SOMA HAPO CHINI UNAWEZA ELEWA KWA NINI TUNASEMA DAR HAKUNA SLUM. Hakuna mtanzania anayetamani kuishi kwenye unplanned areas ni kwa vile tu serikali haipimi viwanja kwa wingi kukidhi mahitaji ya wananchi.ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..
hebu search informal settlement kwa oxford dictionary
smile sana babaake, habari ndo hio👇🏽 View attachment 2022553
Kwa slums, Yes hakuna wa kuwazidi ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DSM
Ni kweli I agree with 100%sisi kama wakenya tuko level yetu hatuna competition ukanda huu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2022382View attachment 2022384View attachment 2022385View attachment 2022386View attachment 2022387View attachment 2022388
Tukisema Magufuli aliipaisha Tanzania mlidhani tunawaringishia, Sasa unakataa nini wakati hilo ni ongezeko la 80%, Sasa katika uzalishaji umeme ikifika mwakani 2022, ongezeko litakua 120% Bwawa la Nyerere likianza uzalishaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie huyo director wenu atafute watoto wadogo wa kudanganya. Sawa?