Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo kama unalazimisha ni middle class za Dar sawa, haya leta makazi ya watu maskini wa DSM, si mnajinasibu mnaijua DAR kisa eti mpo JF kitambo 😂😂, mnnichekesha sana.. hii ni duty nakupa wewe na huyu mbweha mwenzako Nicxie ..
Dar itakuaje na makazi ya watu maskini wakati hamna slums?
 
Kumbe kuna baadhi ya data na statistics ambazo mnakubaliana nazo! Ila zile ambazo zinapotray Tanzania negatively huwa hazina ukweli wowote 😂
We are living in very interesting times!
We Kwani umesoma kweli wewe.? Mbona unaakili ambazo zipo limited sana.?
 
Unadhani jaluo atakuelewa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unanielewa lakini wewe.? Nyie kila siku mnalazimisha kwamba hayo makazi ambayo hajapangwa ni makazi ya middle class wa Dar, owky nataka sasa unionyeshe makazi ya watu maskini, we si unadai unaijua DSM wewe.?
Nishakuambia Dar haina watu maskini. Ama hunielewi. Dar kila mtu ni tajiri na anamiliki dream house yake
 
Hizo kama unalazimisha ni middle class za Dar sawa, haya leta makazi ya watu maskini wa DSM, si mnajinasibu mnaijua DAR kisa eti mpo JF kitambo [emoji23][emoji23], mnnichekesha sana.. hii ni duty nakupa wewe na huyu mbweha mwenzako Nicxie ..
Leteni mitaa kumi ya middle class dar
 
Malls zinaonyesha jinsi gani uchumi upo imara na mzunguko wa hela vile vile
 
Unataka kubishana na mimi mkazi wa DSM we matako.? Unaijua ilala wewe.? Umeshawahi kuona picha za ilala humu ndani.? Umeshawahi kuona picha za Kinondoni humu ndani.? Magomeni je.? Manzese.? Sinza.? na mitaa kibao as you know Dar es Salaam is the largest City in EA .. sehemu zinapostiwa humu ndani ni sehemu common tu tatu, hiyo barabara ya Mwenge-Morocco, Kk na Posta, na ndio mana punguani kama wewe unajitia eti "naijua Dar" mavi.. mfano 👇 hii ni ilala zoom vizur ule mjiumewaahi kuona picha za hilo eneo ☝️wapi.?
 
Nishakuambia Dar haina watu maskini. Ama hunielewi. Dar kila mtu ni tajiri na anamiliki dream house yake
Vipi umekosa au.. we si unaijua DSM wewe.? Hizo unplanned settlements umedai ni makazi ya middle class, sawa nimekukubalia leta sasa makazi ya watu maskini DSM
 
Hapa hukwepi
Kha.!! Sasa nani anamkwepa mwenzake Kati ya mimi na wewe.? Me nasubir uniletee makazi ya watu maskini DSM, mana ume claim kwamba unplanned settlements zile ni za middle class... Nasubir unionyeshe watu maskini DSM huwa wanaishi wapi
 
Kha.!! Sasa nani anamkwepa mwenzake Kati ya mimi na wewe.? Me nasubir uniletee makazi ya watu maskini DSM, mana ume claim kwamba unplanned settlements zile ni za middle class... Nasubir unionyeshe watu maskini DSM huwa wanaishi wapi
Wewe ndio uthibitishe sasa km hzo sio middle class, zilete baba acha kuruka ruka hapa..naona umekalia kuti kavu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiniletea middle class areas kumi tu natoka jf mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…