Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BIG UP Nick......Nairobi ni london.......even Nyerere aliona hivo.Na watanzania wajue there are many beggers from Tanzania who make a fortune from Nairobi streets because kenyans are naturally generous
 
Kweli mambo yabadilika😀😀😀
Screenshot_20170728-100619.jpg
 
Nenda super market kanunue unga kutoka Tanzania mchana unakaribia

Nairobi bila kuweka nakshi kwenye pictures inaonenaka chafu na ya kizamani , Nairobi yote ni antiquity or museum mji wa kale

Kama mnabisha tumeni picha amabazo gazina nakshi

spensa_e
you will never find a tanzanian product in our supermarkets.
[HASHTAG]#get[/HASHTAG] that from me.
 
Usililie kama mtoto kwanza tegeta is more than 20 km from CBD. Kama Nairobi kuna ukungu. Sisi huku ni joto. Usituone kimya utakimbi humu.The other thing hapo hakuna building hata moja. Huoni hata aibu.
daafe1b4d7cf453ddfc2e89d3513da12.jpg
You cant fool me dude...at 20km you can't see the towers' colour.. Like this one
a14951f718bd1f304fa4018291a92fe2.jpg

sent from iPhone 7
 
Nmeona mahali wb kama sio imf estimate zao kufikia mwaka 2022 World richest country itakua China, USA, India....
Uku Africa nilipigwa na mshangao kidogo baada ya kuona Ethiopia GDP 114,Kenya 112 and Tanzania $77bn

Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia's population is twice Kenya's. With a difference of $2B.... what does that tells you?

at the same time
Kenya Gdp = 112
Tz Gdp = 77
difference = 35
mbona hii gap inashinda ikipanuka despite the fact that uchumi wenu unakuwa kwa kasi as you always say na hatupumui humu ndani??? haha 😀
mutatupita tu.
so much things to learn
 
Tuletee hio link tuone yakupika au?????
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ethiopia's population is twice Kenya's. With a difference of $2B.... what does that tells you?

at the same time
Kenya Gdp = 112
Tz Gdp = 77
difference = 35
mbona hii gap inashinda ikipanuka despite the fact that uchumi wenu unakuwa kwa kasi as you always say na hatupumui humu ndani??? haha 😀
mutatupita tu.
so much things to learn
N that's Is why nimeshare humu...anything can change at anytime...that is incase if everything remains constant!! There might be the difference who knows?we or you may shoot to infinity btn this 5 yrs...and that is what the real meaning of estimates. ..don't over rate ur thoughts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom