Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni aibu sana kwa nchi miaka 60 tangu muachiwe na mzungu bado mna matatizo ya umeme na maji hadi mjini kati, bora sisi vigumu sana usikie mambo kama hayo mjini kwenyewe, hutokea tu mara moja moja mitaani.
Sasa umeme na njaa afadhali nini. Maana food ni basic need
 

Ni ukichaa uliopitiliza kwa kutegemea kuna unafuu wowote wa kukata miti milioni mbili, miafrika huwa tunatia aibu, mzigo sana bara hili, hamna hata wataalam wa kusauri, wote zero brain, maprofesa wenu ndio walikua wanatumia ndege za serikali kufuata mataputapu Madagascar eti ndio dawa ya corona.
 
Source yako Jamii Forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na nani alikuambia mvua zitakuwa hazinyeshi Tz

Wakenya hamna akili

Source BBC, fuata huo uzi uone Watanzania wachache wenye akili wanavyo omboleza huo ukaidi na ujuha wa mwenda zake, aliumbukiza nchi pabaya kiholela.
 
Wivuuu, by 2022 Tanzania itakua inazalisha 5000MW umeme wa maji, Bei ya unit Moja itakua ni ndogo mara mbili ya Kenya, lazima viwanda vyenu vitashindwa kupambana kibiashara
Kwamba wanajifanya hawajui umuhimu wa JNHPP, kwahiyo hata mtera tusingejenga kama tungeogopa miti, na wachina je wangeogopa miti leo hii wangeisumbua US kwenye uchumi? Akili za wakunya inabidi kuchunguzwa huenda neva zao za fahamu zimejaa usaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaiogopa Sana Tanzania kwasababu ndio mshindani wao mkubwa kibiashara, vipi wafurahie kujengwa kwa Bwawa la umeme Ethiopia ambalo ni kubwa karibia mara tatu ya lile la Tanzania, miti iliyokatwa Ethiopia ni mara tatu ya Ile ya Tanzania, wakati Ethiopia haina misitu mingi ukilinganisha na Tanzania. Hakuna la ziada zaidi ya wivu
 
Ni aibu sana kwa nchi miaka 60 tangu muachiwe na mzungu bado mna matatizo ya umeme na maji hadi mjini kati, bora sisi vigumu sana usikie mambo kama hayo mjini kwenyewe, hutokea tu mara moja moja mitaani.
Wacha kujipiga kifua apa...wakati chakula tuu kimekuwa majangaaa toka kunya land iumbwe[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau Lissu na Lema walikimbia nchi kwa kumsingizia marehemu sasa kafariki wala hawarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…