Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nmejiuliza miezi 8 tunaimport nn na iyo hela ambayo ni ndogo kulinganisha na iyo kubwa yakutosha miezi 5 apo...Je hatuna uwezo wa kununua kuliko wao au MATUMIZI yetu yako chini sana?

Inawezekana sisi tunavyonunua ni vile ambavyo hatuna, na vingine vinapatikana hapa hivyo havitahitaji matumizi ya Dollar kuvifuata. Tunavyovihitaja nje ni Bidhaa muhimu kama za mafuta.

Wenzetu labda hawana vitu tulivyonavyo sisi so ni lazima watumie dollar kuvifuata. ie Misosi. Hivyo watatumia hela nyingi muda mfupi. IMO.
 
hao ndiyo wakunya bwana,ground kwa upande wao ni vitu tofauti
 
Can do anything and say anything kuonekana Bora lakini kwa ground sasa 🤣🤣🤣🤣
 
huo ndiyo ukweli vitu vingi kwao havipatikani hivyo lazima wategemee vingi kuagiza nje
 
Nmejiuliza miezi 8 tunaimport nn na iyo hela ambayo ni ndogo kulinganisha na iyo kubwa yakutosha miezi 5 apo...Je hatuna uwezo wa kununua kuliko wao au MATUMIZI yetu yako chini sana?
Maana yake kenya is a more importing economy while Tanzania is a less importing economy because of developed industries. Hiyo ndio tofauti kubwa ya hizo reserves na months of imports
 
Apo kunya walifundishwa ukiwadhalilisha viongozi ndio uhuru wa abari...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww kama ulienda shule please nenda uchukue school fee harakaaa sanaaaa
Mdanganyika
 
ukimsikiliza mmkunya akizungumza utasema daaah jamaa wako vizuri lakini maisha Yao in reality 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu nimebaatika kutembelea nchi nyingi ndani na nje ya Africa,Ila Leo nimewaza Sana na kumshukuru mungu kwa neema ya kuzaliwa Tanzania kwa kweli Tanzania hatuko perfect lakini we are blessed.
Tanzania nakupenda kwa moyo wangu wote forever Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Sea Cliff naifahamu nimewahi kuhudumiwa pale, ni mzaha mkubwa sana kwa hoteli yenye hadhi hiyo kukosa maji, hainiingii akilini, hawa jamaa uzembe wao huwakwamisha sana.
Ni aibu kubwa, hoteli kama hio kukosa water recycling plant au hata borehole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…