Soma mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu. Tumewashinda kwenye kila kitu. Tumewadouble kwenye kila kitu. Kuanzia airport passengers to port cargo volumes.
Kenya's forex reserves shrink by Sh38.4bn in October
Diaspora remittances which are Kenya’s largest source of foreign exchange have been declining
In Summary
- The country's dollar reserves have been declining for the past six weeks currently standing at $9.175billion(Sh1.02trillion).
- The reserves have dropped from $9.521billion(Sh1.05trillion) held as of September 24.
CBK Headquarters
Image: FILE
Kenya’s official forex reserves dipped by Sh38.4billion in October, on the back of low remittance inflows and possible dollar sales by CBK to cushion the shilling.
The country's dollar reserves have been declining for the past six weeks currently standing at $9.175billion(Sh1.02trillion), according to the latest weekly bulletin.
The reserves have dropped from $9.521billion(Sh1.05trillion) held as of September 24.
Wewe unayesumbuka na Magufuli uliwahi kumpigia kura?Nini kinakusumbua raila akikua rais was Kenya? Wewe sio mpiga kura huku so hakuna kitu unaweza amua. Stick to CCM.
Shida yao ni kwamba hawana akili, huwa wanachukua vitu mitandaoni pasipo kusoma kwa umakini.“jamen” wakenya bila uongo hawawezi kuishi
official data hizi hapa kutoka CBK na BOT
the issue isn’t not about the reserve (amount), the issue is about the months of imports (hehe mim sio mchumi i hope mmeelewa naaminisha nn)
Kenya (CBK) - 5 months of imports - $8.8b
View attachment 2017430
Tanzania (BOT) - 7 months of imports - $6.7b
View attachment 2017433
Wacha wake kumine Tanzanite waende zao. Sisi huku watakuja kuset up tech hubs where majority of the managers will be Kenyan.Wakenya siku hizi mnatia huruma sana jinsi mnacheseshwa sebene na Tzn 👇
View attachment 2017305
View attachment 2017306
So hapo ndio wameandika hakuna maji? Au kizungu ndiyo hujui, shortage of.... co sawa na lack of......
Wakenya hamna akili
Hatuzungumzi kuhusu number of months of import cover. Wewe umedandia conversation kwa nyuma bila kujua tulikuwa tunazungumzia nini.“jamen” wakenya bila uongo hawawezi kuishi
official data hizi hapa kutoka CBK na BOT
the issue isn’t not about the reserve (amount), the issue is about the months of imports (hehe mim sio mchumi i hope mmeelewa naaminisha nn)
Kenya (CBK) - 5 months of imports - $8.8b
View attachment 2017430
Tanzania (BOT) - 7 months of imports - $6.7b
View attachment 2017433
Kama 5 star hotel inakosa maji sasa Tandale kutakuwa na maji? Halafu watakuambia Kenya hakuna maji. 🤣 🤣Tafuta mtu akutafsirie hii hapa, ikiwa wenye zao huko Sea Cliff wanateseka hivi, jameni maskini walalhoi kama wewe Tandale lazima mnakoma aisei.
“jamen” wakenya bila uongo hawawezi kuishi
official data hizi hapa kutoka CBK na BOT
the issue isn’t not about the reserve (amount), the issue is about the months of imports (hehe mim sio mchumi i hope mmeelewa naaminisha nn)
Kenya (CBK) - 5 months of imports - $8.8b
View attachment 2017430
Tanzania (BOT) - 7 months of imports - $6.7b
View attachment 2017433
Kama 5 star hotel inakosa maji sasa Tandale kutakuwa na maji? Halafu watakuambia Kenya hakuna maji. 🤣 🤣
Kwahiyo ulikuwa unazungumzia kuhusu nn, haya weka tena article yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuzungumzi kuhusu number of months of import cover. Wewe umedandia conversation kwa nyuma bila kujua tulikuwa tunazungumzia nini.
Kwa hivyo si wewe umesema watanzania wana akili na kwamba sio watu wa kuathirika na mipaka walioweka wazungu? IMF kusema hampo tena LDC huoni kama ni mipaka? Na mbona mlikubaliana na hiyo taarifa yao? Mbona hamkujifanyia uamuzi nyinyi wenyewe kama Tanzania na kusema hampo LDC now that nyinyi si watu wa kuwekewa mipaka? Hiyo elimu yenu iko wapi kama bado mnategemea data za wazungu mnaowabeza on another hand?
Nyote wawili mnahitaji kujikimboa kifikra ....They only agree with the white man when he favors them.🤣🤣
Hii mimi nilijua tangu nilivyoanza kufuatilia zile blogs za UK zinazotoa taarifa kuhusu china kutokea kwenye miji ya China, nikasema humu nikaonekana labda naota mchana😂😂,kiko wapi sasaHehehehe tuliwaambia
Cc Sama boy 255
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wamepigwa mkwara wasithubutu kuonyesha dalili za kutaka kujinyonga...
Nmejiuliza miezi 8 tunaimport nn na iyo hela ambayo ni ndogo kulinganisha na iyo kubwa yakutosha miezi 5 apo...Je hatuna uwezo wa kununua kuliko wao au MATUMIZI yetu yako chini sana?Wanasema si kiasi ulichonacho bali ni muda . So mpaka hapo unajua Tajiri ni Nani.[emoji1787]
Kama hela yako unaweza tumia miezi mitano, Mi naweza tumia miezi nane. Nani better off hapo.
Wealth[emoji41].
Ndio maana tunashauriwa tutengeneze Wealth. Ndio mpango mzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]haina haja ya kipimo yupo vizuri,mama ni noma nimemvulia kofia mpaka kichwa
Maaaama maaamaaa maaaaaama mama uyoooMalazy hawana stima haaahahaha
Kwani nyie su majuzi tu apa...mlikuwa hamna stima leo mnapiga domo humuMalazy hawana stima haaahahaha
Apo kunya walifundishwa ukiwadhalilisha viongozi ndio uhuru wa abari...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww kama ulienda shule please nenda uchukue school fee harakaaa sanaaaaDanganyika hakuna freedom ya media kama huwezi chora cartoon kama hii bila kuulizwa View attachment 2017386
Leta ushahidi. Hatujawahi kosa umemeKwani nyie su majuzi tu apa...mlikuwa hamna stima leo mnapiga domo humu
Ndio unavyojifariji sio? 😄😄Stuka hizi ni zama za Samia sio Jiwe,tutawakimbiza Sana kwenye uchumi.Wacha wake kumine Tanzanite waende zao. Sisi huku watakuja kuset up tech hubs where majority of the managers will be Kenyan.