Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daah inauma....mim hata mood ya kufwatilia ilishaisha, nilipoona baadhi ya sura kwenye safu ya mama, nilichoka kabisaaa
 
Mazuzu ........sijui sasa umeme wa kuendesha SGR YETU YA UMEME TUTAUPATA WAPI MAANA HADI SASA PROJECT ZOTE ZA MAGUFULI ZIMESIMAMA KWA 70%
Vi flyover vya bei nafuu kabisa vya pale Chang'ombe na uhasibu Magufuli angevikimbiza saizi vingekuwa vimeisha lkn mpk ss ni story za alfu Lela ulela, yn tumshukuru Mungu huyu mzee aliacha miradi ikiwa tayari kutekelezwa, ss inawawia vigumu hawa wazembe kuipiga chini, nimalize kwa kusema Watz kwa ss nchi inajiendesha yenyewe na haina kiongozi km enzi za Msoga.
 
Acha tu kaka
 
Acha tu kaka, et mpaka 2030 dah
 
Ile siku naenda kumuaga Magu moyo uliniuma sn na ndiyo maana nililia sana cku ile nilipomuona mwamba kalala kwenye lile jeneza, nilijua mwisho wetu ndiyo ule, mzee hakuwa na hatia yoyote zaidi ya kupigania maslahi ya nchi yake aliyoipenda toka moyoni, lkn ndio hivyo elimu ndogo tuliyonayo tumeshindwa kumlinda mzee wetu na wala sio kitu kingine, Africa tunateswa na elimu na ndiyo maana hatutakuja kuendelea, moyo unaniuma sn, naomba niishie hapa nisije kuongea nikapitiliza, ucku mwema na hii ni msg yng ya mwisho usiku wa leo.
 
Yap kaka, JPM alikuwa anajenga Msingi, lkn hawa wengine wanataka wanataka wajenge juu ya mchanga chapchap ili wapate mitaji ya kisiasa,
 
Mtu alikuwa nusu kaputi kwa ajili ya matibabu kikao kichafu kikafanyika ,wahuni wakamaliza kazi ,mimi sita acha kumlaani mkuu wa majeshi hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…