[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiyo ndiyo tofauti ambayo huwa tunabishana nao wakenya,huwa wanajifanya kuwa wanamtandao mkubwa wa rami,Kukiwa na maana hakuna sehemu ya kusafiri masaa 96 kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.
Basi bhana kutoka Isiolo hadi mandera watu wanatumia masaa 96 njiani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena km 740 tu!
Hehehehee alafu mkuu wewe hii Avatar yako nilikuwa nikiiona naichukia sn, nilikuwa naofananisha na ya jamaa mmoja hivi jeuri sn na ni mjinga kupita maelezo kumbe co bhn, ww ni mzalendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nachofahamu walikuwa wamepanga Idadi ya ndege ziwe kwa mfumo wa Pyramid kulingana na ukubwa wa ndege lakini mpaka sasa Pyramid yetu haijakaa sawa. Hizo B767-9 Max zinatakiwa ziwe nyingi kuliko B787-8 labda kama kuna muendelezo wa ununuzi wa ndege nyingine baada ya hizo order kuwasili nchini.
[emoji3575] B767-Freighter
[emoji3575][emoji3575] B737-9 Max
[emoji3575][emoji3575][emoji3575] B787 Dreamliner
[emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575] A220-300
[emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575] De Havilland - 400
Ameongea pumba sn, huyu mama yenu mm simwelewagi kabisa, na cjui itakuwaje mana mpk tunavyoongea hawezi kupata kura yng labda nikiona changes, alafu kitu kingine kinachoniuma ni Tz kukosa upinzani wa kweli aisee, huu ndio ulikuwa muda wa upinzani huu.Yani inasikitisha mpaka basi waliinza kwa kisingizio cha maintenance, sasa wametafuta kisingizio kingine daah, nchi inazalisha karibu surplus ya almost megawatt 350 ila kunamgao sasa nashindwa mbona kuwe na mgao kwenye majii tena ndio yaleyale, mama anajua sana sema ndio hivyoo hana meno eti anasema tuombe dua mvua zinyeshee [emoji848]
Kwahiyo sasa hivi hata atujui nini ni nini kinafanyika serikalini maana kila mtu anasema yakeAirbus 2 zilishalipiwa down payment, sidhani kama zimeondolewa by the way Mama anaipenda sana🙂
Nadhani Max ni order mpya, so in total hapa tunazungumzia ndege mpya 7.
AhahahaaaaaahhhhHehehehee alafu mkuu wewe hii Avatar yako nilikuwa nikiiona naichukia sn, nilikuwa naofananisha na ya jamaa mmoja hivi jeuri sn na ni mjinga kupita maelezo kumbe co bhn, ww ni mzalendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Serikali ya TUTA, nasubiri tuta tuta zao zigeuke reality, JPM alikuwa akiongea leo ujue wiki ijayo mambo yanaanza, kuna Watz hawapendi kuona tukimtaja taja JPM ati wanasema ameshakufa, lkn mm kama muajiri namkumbuka mfanyakazi wangu aliyepita kwamba alikuwa anafanya kazi vzr kuliko huyu wa ss, co zambi.Kwahiyo sasa hivi hata atujui nini ni nini kinafanyika serikalini maana kila mtu anasema yake
Mzee wa render, hujawahi kuweka uhalisia hata cku moja, wewe ni render tu asubuhi, mchana, jioni na Tecno yako. Hakuna render hata moja iliyogeuka uhalisia.Hizi ni proposal za hivi karibuni.... majengo yanazidi chipuka kila kukichaView attachment 2015660View attachment 2015662
Mzee wa render.Ni mengi hadi shidaView attachment 2015663
Mtateseka sana na Nairobi hii...haijasimama kama dar slum,inajengwa usiku na mchanaMzee wa render, hujawahi kuweka uhalisia hata cku moja, wewe ni render tu asubuhi, mchana, jioni na Tecno yako. Hakuna render hata moja iliyogeuka uhalisia.
Hizi ni proposal za hivi karibuni.... majengo yanazidi chipuka kila kukichaView attachment 2015660View attachment 2015662
Bado unaendelea kuweka render mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtateseka sana na Nairobi hii...haijasimama kama dar slum,inajengwa usiku na mchanaView attachment 2015668View attachment 2015669
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I love renders.
Jamaa huwa hawaheshimu render, hyo Nairobi expressway imetoka nje ya render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I love renders.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena ndio mwanzo ujenzi unaanza hapa NairobiView attachment 2015671View attachment 2015672View attachment 2015673
Ameongea pumba sn, huyu mama yenu mm simwelewagi kabisa, na cjui itakuwaje mana mpk tunavyoongea hawezi kupata kura yng labda nikiona changes, alafu kitu kingine kinachoniuma ni Tz kukosa upinzani wa kweli aisee, huu ndio ulikuwa muda wa upinzani huu.
Tumepigwa kaka mchana kweupee, huyu mama hana uwezo wa kuongoza hata wilaya.Yani maza Leo kachemshaa kweli kweli anachukulia mambo simpo kweli yy anataka kuwavutia wawekezaji umeme wenyeww ndio huu wa kusuasua kama tukiendelea hvi hii sgr yenyewe tutaiona chunguu Leo nmekubali rasmi tumepigwaa
Kaka Tumepotezana mtu mwenye maono. Yaani alikuwa na uwezo wa kuliangalia jambo tofauti wengine.Ameongea pumba sn, huyu mama yenu mm simwelewagi kabisa, na cjui itakuwaje mana mpk tunavyoongea hawezi kupata kura yng labda nikiona changes, alafu kitu kingine kinachoniuma ni Tz kukosa upinzani wa kweli aisee, huu ndio ulikuwa muda wa upinzani huu.