ππππππHuenda watu wetu wanaishi kwenye nyumba za mabati, lakini hali yetu ya umasikini haijafika hapa mlipo. Tatu bora Africa hatupoView attachment 2014123
A tweet???
The balance of trade between Kenya and Tanzania has historically been in favour of Kenya.
Max Hizo zinauwezo zaidi Ya A220 300Naona wamebadili order, wameondoa Airbus A220-300 wameweka Boing Max 737
kwa density gani iliopo hapo πππ ushuzi mtupusio mbaya, pia sisi tunajaribu.. westlands hapaππ½ and with the 3rd tallest structure in the continent View attachment 2014570
fikeni hapa kwanza tuongeeππWakati ukililia, seco engineering Is dominating the east coast. Below boats are for Tanzania πππ©π©View attachment 2014581View attachment 2014582View attachment 2014583View attachment 2014584
zimeuzwa ngapi kenya??πππ muache kutumia probox mukanunue huo ushuzi
Kwenye hii battle ya aircrafts ni Watz tu hapa ndio tunaongeea, mara tuongelee Airbus a220, mara dreamliner, mara Bombardier, na ss ni Max, wenzetu airline yao inayomilikiwa na foreigners pamoja na Mama Ngina family ina mikweche but nchi kama nchi inamiliki 3 planes chakavu walizozipata baada ya EAC kufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Max Hizo zinauwezo zaidi Ya A220 300
Max 9 ndo zilizoagizwa zina range ya 6500km against airbus A220 yenye 6100km..
Zinaweza safirisha watu 190 to 200 per trip compared to 132 ya A220 300
Ila mimi naona wangestick na Airbus kwenye Regional Markets na Boeing 787 kwenye continetal markets..na q400/a220 kwenye domestic market..kwanini nasema hili
Max 9 ni 134mil usd ..na ina range ya 6500km..na watu 200+..ila..Airbus A321LR ina range ya 7400km, watu 200+, ila inabeba mzgo kubwa zaidi .ingawa iko ghali kidogo at 148mil..lakini ..anyways washachagua Max
Kiingereza ndio huelewiKeyword: Historically [emoji3][emoji3][emoji3]
Let's assume hiyo taarifa ya blog yako ni ukweli, na tufanye mahesabu za haraka:ππππππ
Homepage
Kenyan News - online daily post newspaper on latest world, Africa, Kenya news. Today top, breaking news on local & national scene. Videos, Photos. Kenya television (TV) stations live stream, Listen to Kenya radio stations live online. News on: politics, entertainment, business, technology...kenyannews.co.ke
I'm looking forward to receiving orders from North.
keyword: extreme povertyLet's assume hiyo taarifa ya blog yako ni ukweli, na tufanye mahesabu za haraka:
40% of 50m Kenyans ni watu milioni ishirini.
Sasa kati ya 20 million people na 28 million people ni gani nyingi?