Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu utasikia vilaza wakisema eti Nairobi ilijengwa na wazungu!
Nani kasema imejengwa, tunasema kuna baadhi ya vimajengo vinavyowakilisha 79% of vi building vya Nairobi ndio viliachwa na mkoloni, mbn mkoloni alivyokiacha hicho kijiji kipindi hicho na ss hamna tofauti.
 
Kibera as usual. Jiliwaze kilaza
Kenya nzima imejaa ma slums
Screenshot_20211115-180624.jpg
 
Naomba uweke majina ya hizo roads zote kama una balls, hakuna road safi Kenya na ya kiwango hata moja, ni mauchafu kushoto kulia, naanza na hii outering road a.k.a chinja chinja, angalia picha uliyoweka alafu uhalisia huu hapa
Screenshot_20211116-174642.jpg
Screenshot_20211116-174910.jpg
Screenshot_20211116-174430.jpg
Screenshot_20211116-174620.jpg
 
Jamaa wachafu sana na ndiyo maana

 
Jamaa wachafu mnooo, vipicha wanavyoweka humu vingi vina lipstick, pia jamaa co watunzaji ki road au kijengo kikiisha leo ndani ya mwezi tu kimechakaa na utakuta lundo la uchafu limezunguka kijengo au ka barabara mfano hapa onaa mauchafu kuzunguka hako kajengo
JamiiForums1656061973.jpg
 
Tanzania tupo mbali sn kwenye usafi na ustaarabu, we angalia wamachinga walivyojaa kipindi kile kabla ya kutolewa alafu juwa kwamba hakuna dust bins sehemu nyingi lkn hukuti uchafu, mtu anazunguka na uchafu wake mpk apate sehemu ya kuutupa lkn co on road km hawa nyani wa Mama Ngina
 
Lipstick vs uhalisia, hakuna road safi hata moja Kenya View attachment 2013036View attachment 2013037
Saa zingine huwa najiuliza mbona mimi hupoteza muda wako kuargue na wewe. Unavyo reason says lot about you as a person. So you've shifted gear from what you were saying earlier about Nairobi kujengwa na wazungu sasa unacgambua picha za barabara.

Bongolala, you are so desperate and stupid at the same time! First, you are comparing totally different pictures? Nani amekudanganya kwamba those footbridges are the same? Nairobi has so many footbridges just in care you didn't know. Thika road alone has more than ten of those, hapo hujaweka barabara zingine.

Lastly, alokuambia barabara za Dar hazina vumbi ni nani? Hizi hapa ni barabara za Nairobi?
images(14).jpg
images(15).jpg
images(16).jpg
images(18).jpg


Stop being stupid and start reasoning for once!
 
Back
Top Bottom