Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio hii density The best 007 huwa anaongelea.
Yaani jamaa slum zao wanaziita dreamhouses ndio wasionekana wana slum when 90% of Dar is a slum. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

View attachment 2011007
Mm nakwambia hivi cku ukinionesha udongo mwekundu Dar nitaamini kweli Dunia imeumbwa upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo mnaji expose wenyewe, hivi sasa ndiyo vile vipicha vya upande upande anavyoletaga Nicxie naona leo umemvua nguo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bongolala, itachukua Dar miaka zingine 50 kuwa na mitaa za kawaida kama hizi za Nairobi




In the meantime, maumivu peleka uswazini
 
Wewe kilaza hiyo ndio WB report?
 
who is namdi azikiwe???😂😂😂
naona unacheka maumivu, bongolala mnabebewa akili na ccm. Yaani huyo jamaa anapotosha live kwenye bunge lakini wewe unauliza mwenye kupost hiyo clip......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…