Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony nenda ona daktari bado una maumivu makali sana ya pipeline!!!unaowaita malazy wamechukua hiyo project kilaini sana pamoja na kuwa na distance fupi na advantage ya kututangulia kwny figisu!!!napata mashaka sana kama Kenya mko na power house yenye uwezo mkubwa kwny negations!!!mmezoea kutuma wazungu!!!
 
Pipeline yenyewe imeshajifia kifo cha mende.
 
A Kenyan coach ameisaidia Tanzania kushinda their first cricket trophy in history. Eliud Kipchoge aliongea na Mama vile anaweza wasaidia kwa mbio za masafa marefu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni vizuri kusaidia majirani haswa kama una uwezo.
 
Boss, Unapost jengo moja moja kuonyesha nini? I could do that for Eldoret or Nakuru or Kisumu and would beat that Dodoma of yours by far.
 
Dom ndio council yenye mtandao mkubwa wa lami kuliko council yoyote Tanzania, if you didn't know that

Yani hiki ndio dodoma, kijiji chenye mtandao mkubwa wa lami Danganyika?!
Na sasa kijiji cha kawaida kinakaa aje?
Danganyika mko nyuma kweli kama hii ndio your best.
 
Kawaida sana. Mombasa beats this.

Halafu picha zile zile from the stretch from posta to Mbezi
Nyinyi watu Nairobi hamuijui kabisa. Hamuijui.


Nionyeshe Mazingira kama haya hapo Dar
 
Yani hiki ndio dodoma, kijiji chenye mtandao mkubwa wa lami Danganyika?!
Na sasa kijiji cha kawaida kinakaa aje?
Danganyika mko nyuma kweli kama hii ndio your best.
Slum ya Nairobi tu haina barabara zenye hizi specifications, 90% ya streets za Dodoma Zina hizi specifications, wide lanes, signed, sideways, lights, cleaned, decongested

 
Unatupostia industry ndogo unaona kama umefika😁😁. Kipevu Oil Terminal with a capacity of 250,000DWT has more capacity than all the ports in Tanzania combined.

View attachment 2007984
siku hzi singapore banyan oil terminal imehamia mombasa mamaeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf nimeona watu wame like na kushangilia

Tony254 hata wewe pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtoto wa kondoo ni kondoo tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…