El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Hope umesha kunywa chai na imetoka Tanzania pamoja na gas uliyotumia kupikia imetoka Tanzania ipa ni kama ume afford kuwa na la gas.
Poor Kenyan sioni ulazima wa kuweka daraja la kubuka watu la machuma kama vile temporary ila natambua Kenya cement ni very expensive poleni
spensa_e
taja hizo brands za gas umekazana nazo hapa....I doubt IF they go beyond namanga town