El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
wewe utakuwa wa kwanza kupanga foleni kuishangaa.
wewe unakuanga na kichaa. ....
wewe utakuwa wa kwanza kupanga foleni kuishangaa.
kaanza kwa kujiamini mwenyewe ....ila kimoyoni nilimcheka.....nikaona ngoja nimpotezee.........sio siri wanjala una mapepo............haijui dar hata roboAnafkiri ni ile bongo ya 90s😀😀😀😀
we muache tu aendelee....siku hizi umeanza matusi...tukiamua kukujibu kwa matusi ya kiswahili utaweza kweli kuyajibu?.
Nimekula sistaakoKijana umekula ? Kama umekula utakuwa umekula chakula ambacho kimetoka Tanzania na gas waliotumia kupikia imetoka Tanzania
Pili acha kuuliza the same question kila siku , tulisha kwambia Nairobi ×3 = 1 DSM sasa kwa hesabu hilo unategemea picha moja kama hiyo ya Nairobi itaweza kukava jiji amvalo ni three times ya Nairobi
spensa_e
Sindano imeingia penyewe , kalale kesho asubuhi washa jiko tumia gas imetoka Tanzania kupika chai, note nikama unauwezo wa kumiliki jiko la gas otherwise endelea na kuni zako na keroseneNimekula sistaako
sent from iPhone 7
Bridges unaziita flyovers. Chini unaona barabara??
After you zoom out this is what you'll see.separated by the road, on your left is Jangwani, on your right at the north is Tandale and south is Magomeni
View attachment 551841
Photoshop ya kitoto sana iyoHaya hayanimependa muonekano wa kicc![]()
![]()
![]()
![]()
ddddddd!!!!