Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

16228585_1821867021387577_5794252718751088640_n.jpg
Umekula lakini, maana ukiwa unaandaa chakula Kenya unga unatoka Tanzania na gas unayotumia kupikia inatoka Tanzania,

How long mtaendelea kukubali kuwa spoon feed na Tanzania,

Ushauri wangu chukueni mashamba kwa ma bwanyenye muanze Ku produce chakula chenu wenyewe

spensa_e
 
Edward sometimes its good to ignore these guys .......We know they cant make their case outside JF. ...Lol.
 
unakataa bao la wazi 😀 🙂
Halafu mnataka kulazimisha issue simple kabisa.
By the way hiyo picha nimepiga mimi mwenyewe. Njoo utembelee bongo. Na hicho kitu siyo kweli mnataka kulazimisha.
 
Back
Top Bottom